"WE KARABAKA WEKA HAPA KWA MZAMIRU ALAFU WEWE INGIA KWENYE BOX LA MTIBWA MUOMBE MZAMIRU AKUWEKEE UKISHAPOKEA PASI TOKA MZAMIRU USIWE NA PAPARA MTAZAME GOLIKIPA ALIVYOKAA ALAFU CHAGUA ANGLE UFUNGE " 🤣🤣🤣🤣🤣 PEP GUADIOLA MNENE SIO TU ANAFUNDISHA KWENYE UWANJA WA MAZOEZI BALI ANATOA MAELEZO DAKIKA ZOTE 90 ZA MECHI MTU WA MAANA SANA🙌🙌🙌
ACHANA NA GOLI 23 TULIZORUHUSU KWENYE LIGI MSIMU HUU ILA KUNA NYAKATI UNAJIULIZA BILA HUYU CHE MALONE MPAKA SASA TUNGEKUWA TUMEFUNGWA HATA GOLI 50 CHANGAMOTO KUBWA INAYOTUKUMBA NI KUKOSA KIUNGO MKABAJI ASILIA MWENYE UWEZO WA KULINDA MABEKI ILA LICHA YA HIYO CHANGAMOTO LAKIN MWAMBA ANAFANYA KAZI KUBWA SANA ANACLEAR SANA MAKOSA YA WENZAKE @malone_che_ 🙌🙌🙌
IKIFIKA MWEZI WA 6 MWAKA HUU MOHAMEDI HUSSEIN ATAKUWA AMETIMIZA MIAKA 10 AKIWA NA JEZI YA SIMBA HII NDO FULLBACK YA KUSHOTO BORA ZAIDI TOKA NYERERE AANZE KUTAWALA MPAKA SASA UTAWALA WA MAMA SAMIA NA NDO MCHEZAJI MZAWA MWENYE CONTROL KULIKO YOYOTE KWANGU HUYU NDO MCHEZAJI MWENYE NIDHAMU ZAIDI KULIKO YOYOTE KWENYE LIGI YA TANZANIA KWA UMRI WA MIAKA 28 ALIONAO SASA HIVI NA KIWANGO CHAKE BORA ANACHOONESHA UWANJANI MI BADO NAMPA MINGINE 4 MBELE YA KUCHEZA KWA UBORA HUU HUU ALIONAO SASA LILE TAMBALA AJAPEWA KWA BAHATI MBAYA @official_mohamedhussein15 👊👊
NILIPENDA UTHUBUTU WA MWALIMU MGUNDA LEO KWENYE NYAKATI AMBAZO PRESHA YA KUGOMBANIA NAFASI YA PILI IKIWA KUBWA MWALIMU WALA HAKUOFIA KUMUACHA BENCHI INONGA NA KUANZA NA HUSSEIN KAZI👏👏👏 KIPINDI CHA KWANZA TIMU ZINAENDA VYUMBANI SIMBA INAONGOZA GOLI 1 NA MTIBWA WALIKUWA WANASHAMBULIA ILA TEACHER MGUNDA AKAAMUA KUWATOA WACHEZAJI WAZOEFU SAIDOO NA ONANA AKAWAINGIZA CHASAMBI NA KARABAKA👏👏 UPANDE WA ZIMBWE MTIBWA NDO WALIKUWA WANAUTUMIA SANA ILA KUTOKANA NA UIMARA WA ZIMBWE ALIWADHIBITI VIZURI SANA ILA TICHA MGUNDA ANAMNYANYUA DAVID KAMETA "DUCHU"KUCHUKUA NAFASI YA ZIMBWE NA ANAMPELEKA FULLBACK YA KULIA NA MWENDA ANAHAMISHWA UPANDE ANAKUJA UPANDE WA KUSHOTO👏👏👏 YAANI KWA KIFUPI MWALIMU MGUNDA SIO MWOGA NA ANASIMAMIA KILE ANACHOKIAMINI ILIKUWA NGUMU KUAMINI KAMA KUNA SIKU ITATOKEA KUWAONA WOTE WAKICHEZA KWA WAKATI MMOJA EDWIN BALUA NDANI, LADACK CHASAMBI NDANI,HUSSEIN KAZI ,KARABAKA ILA KWA MARA YA KWANZA PEP GUADIOLA MNENE KALIFANYA TICHA JUMA MGUNDA 🙌🙌🙌🙌🙌
HATUWADHARAU WAZAWA ILA KIBU HANA HIYO THAMANI HIYO PESA BORA MUPELEKE AZAM MUMCHUKUE FEISAL AU KIPRE JUNIOR TU MECHI 22 GOLI 1 ASIST 3 KWELI 🤣🤣🤣 SI MSIMU ULIOPITA TU BADO KIDOGO AACHWE HUYU HAPO MIPANGO YA WATU KUPATA CHA JUU ISHATENGENEZWA AU VIONGOZI WANATUMIA PLAN B ILI KUONEKANA WANAPAMBANA KUWABAKISHA WACHEZAJI WE HUJIULIZI KWANINI HILI JAMBO LIMETREND SANA LEO TU TENA LIMEANZA KWA JEMEDAR NA EFM LIKAJA WASAFI KWA RICARDO MOMO akili mtu wangu
MSIMU HUU KAZI IPO ASEE KILA MCHEZAJI ANATULINGIA KUSAINI MKATABA MPYA🤣🤣🤣 TAJILI MOO USIMLAZIMISHE MTU SANA WAACHE WAONDOKE WOTE ALAFU TUANZE UPYAAAA WACHEZAJI WAMEGUNDUA KAMA SAHIV MMEPAGAWA NA MUNATAKA KUWATULIZA MASHABIKI NDO MANA WANAWADENGULIA NA MUKIWAFOSI KUSAINI BAADAE WATAKUJA KUTUSUMBUA HUKO MBELENI NA MADHARA MENGINE HAWA WENGINE WAKICHEZA VIZURI KIDOGO WATATULINGIA NAO HUKO MBELE NI WAKATI SASA WA KUTENGENEZA SIMBA MPYA TIMUA HAO WOTE WALIOTANGULIZA PESA MBELE @moodewji
Bwana shamba Dege la KIVITA 126 MITAA TUNAIDAI na ILITUKOPESHA T U N A D A I Y A N A #simbaraha #AzamTV #wasafitv #yanga #yangasc #wenyenchi #simbascnguvumoja #milladayoupdates #simbasupercup #simbasctanzania #sportarena #hiiniyetusote #simbanguvumoja #timuyawananchi #simbavsyanga #yangatv #sokaonlineupdates #simbaday #wasafisports #simbasportsclub #misssimbasportsclub #diamondplatnumz #simbaqueens #nbcpremierleague #simbasc #simbaapp #nguvumoja #azamsports2 #wasafitv #tanzania
ASILIMIA KUBWA YA WATU WANALAUMU USAJILI WAKO SAWA ILA CHANGAMOTO YA KWANZA KWA SIMBA NI VIONGOZI WANAOIONGOZA SIMBA KWANZA HAWAJUI CHOCHOTE KUHUSU MPIRA WA MIGUU BALI WAMEKAA PALE KISIASA TU NA MASLAH YAO BINAFSI TRUST ME SIMBA HATA IMLETE MESSI,HALLAND ,MBAPPE HAIWEZI KUFANYA VIZURI CHINI YA VIONGOXI HAWA TULIONAO @kipato_simbasc
MIAMBA KABISA HII! FOLLOW @ngailo_sport @ngailo_sport . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #TotalEnergiesCAFCC #NguvuMoja #CAFCC #simbasc #simbanguvumoja #simbayetu #simbasctanzania #simbasportsclub #sisinisoka #simbasupercup #simbaapp #simba🦁 #simbascnguvumoja #simbainlondon #simba_wa_daresalam #simbawamorogoro #tpl #nbcpremierleague #azamtv #azamsports2 #tanzaniapremierleague #azamfederationcup #azamsports1hd #azamtwo #kaliakoodarby #sportarena #zanaco #lusaka #zambia
|| IBRAHIMA KEITA, Moja ya Walinzi bora wa kulia Afrika kwasasa, No doubt, TP Mazembe ilitaka kumpa mkataba wa miaka mitano alikataa na alisaini miaka miwili, Amebakisha msimu mmoja 2024/25. TOP TOP TOP RB In Africa || Kama kuna Mchezaji ambaye anawaumiza Kichwa Mazembe basi ni Keita ana mkataba wa mwaka mmoja lakini kiwango alichoonesha wanahangaika kuipata saini yake for more years. Follow @ngailo_sport @ngailo_sport 🥹🥹 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #TotalEnergiesCAFCC #NguvuMoja #CAFCC #simbasc #simbanguvumoja #simbayetu #simbasctanzania #simbasportsclub #sisinisoka #simbasupercup #simbaapp #simba🦁 #simbascnguvumoja #simbainlondon #simba_wa_daresalam #simbawamorogoro #tpl #nbcpremierleague #azamtv #azamsports2 #tanzaniapremierleague #azamfederationcup #azamsports1hd #azamtwo #kaliakoodarby #sportarena #zanaco #lusaka #zambianfashion
MI NAWAELEWA SANA WANASIMBA NA NAELEWA MAUMIVU MAKALI WANAYOPITIA KWA KIPINDI HIKI MSIMU HUU SIMBA ILISHAFIKA KATIKA LEVEL AMBAZO VILABU VYOTE TANZANIA VILIKUWA VINAONA WIVU HII PROJECT ILIKUWA BORA SANA SIMBA ILIKUW INASAJILI WATU WA MAANA SANA NA WATU WENGI TULITEGEMEA BAADA YA MIAKA 3 MBELE SIMBA INAENDA KUBEBA CAF CHAMPIONS LEAGUE LAKINI BADALA YA KUPIGA HATUA KWENDA SIMBA INAPIGA HATUA KURUDI NYUMA TIMU IMEKUWA HAINA MVUTO TENA 💔 INAHITAJIKA KAZI KUBWA SANA KURUDI KWENYE UBORA HUU ILA TUSIKATE TAMAA WANASIMBA KAMA SI LEO BASI KESHO🙏🙏🙏 @kipato_simbasc ✍✍✍✍
HUENDA KAJA KWENYE MSIMU AMBAO SIMBA HAINA PERFOMANCE MZURI ILA BABACAR SARR KACHAGUA AINA FLAN YA UCHEZAJI NA KAFANIKIWA SANA NI PASES MZURI SANA NA AKIWA NA MALI MGUUNI HUWA ANA UTU NA UTULIVU WA HALI YA JUU SANA , HUPIGA PASI KWA VIWANGO NA HUFIKA KWA MUHUSIKA BILA KUITOLEA JASHO ,NYAKATI AMBAZO TIMU HUMUHITAJI KUKABA HUSHUKA CHINI KUJA KUKABA ,NYAKATI AMBAZO MIPIRA HUWA NGUMU KUPELEKWA MBELE HUSHUKA CHINI KUJA KUOKOTA MIPIRA NA KUISOGEZA JUU NA IKUMBUKWE KIASILIA JAMAA NI KIUNGO MCHEZESHAJI (8) ILA KUTOKANA NA UHABA WA VIUNGO WAKABAJI IMEBIDI JAMAA ASHUSHWE CHINI AJE KUKABA (6) NGOJA SIKU APATIKANE KIUNGO MKABAJI HASWA ALAFU JAMAA APELEKWE PALE KWENYE KIDUARAAA AISEEE TUTAINJOI SANA FOOTBALL SLOW BUT SURE BABACAR SARR👊👊
Wote mnakaribishwa Bidhaa bora na zenye uhakika 🏷️🔋🔋💪 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #TotalEnergiesCAFCC #NguvuMoja #CAFCC #simbasc #simbanguvumoja #simbayetu #simbasctanzania #simbasportsclub #sisinisoka #simbasupercup #simbaapp #simba🦁 #simbascnguvumoja #simbainlondon #simba_wa_daresalam #simbawamorogoro #tpl #nbcpremierleague #azamtv #azamsports2 #tanzaniapremierleague #azamfederationcup #azamsports1hd #azamtwo #kaliakoodarby #sportarena #zanaco #lusaka #zambia
HUYU KENNEDY ALIYEKUBALI KUVUJA JASHO KUANZIA DAKIKA YA KWANZA MPAKA KAJA KUKOSEA MWISHO NA HAO WACHEZAJI WENU PENDWA WALIOGOMA KUCHEZA KWA KISINGIZIO CHA MAJERAHA YUPI BORA ? TUACHE HUO USHAMBA WA KUTUKANA HOVYO BALI TUWAPE MOYO ILI WASIRUDIE MAKOSA SABABU HAWA NAO NI BINADAMU KUKOSEA NI KAWAIDA TUSIFICHE MADHAIFU YA TIMU YETU KWA MAKOSA YA MTU MMOJA TU VIPI YULE JOBE ALIYELETA MBWEMBWE MPAKA AKATOA PASI MBOVU TUKAENDA KUFUNGWA? NI KIPINDI KIGUMU TUNAPITIA HAWA WACHEZAJI WACHACHE WALIOKUBALI KUIBEBA SIMBA HEBU TUWAPE MOYO ILI WAPAMBANE WALAU TUIPATE HIYO NAFASI YA PILI @kipato_simbasc ✍✍✍✍
SOMA KWA MAKINI MWANASIMBA HII NI MUHIMU SANA NI WAKATI SAHIHI WA KUANZA UPYA🦁 NI SAWA TIMU NYINGI DUNIANI HUPITIA KIPINDI CHA MPITO NA HUMPELEKEA NYINGINE KUPOTEA KABISA KWENYE RAMANI YA SOKA NA NYINGINE HUKUBALI KUANZA MOJA NA KURUDI ZIKIWA IMARA KWA SASA SIMBA YETU INAPITIA KIPINDI KIGUMU MNO SASA NI SISI AIDHA TUKUBALI KUWA SIMBA IMEPOTEZA UBORA NA MVUTO NA TUANZE MOJA ILI KUITENGENEZA SIMBA ILIYO BORA AU TUENDELEE KUJIONA SIE NI BORA HUKU TUKIZIDI KUPOTEA ZIPO NJIA ZA KUIRUDISHA SIMBA KWENYE UBORA 👇 1: MABADILIKO YA UONGOZI (LAZIMA WAPATIKANE VIONGOZI WA MPIRA WANAOULEWA MPIRA VIZURI NA WENYE MAONO YA MBALI 2:SAPOTI KUBWA KUTOKA KWA MWEKEZAJI MOHAMEDI DEWJI 3: KURUDISHA ULE UMOJA WETU NA USHIRIKIANO 4: KUUNDA KAMATI MBALIMBALI ZITAZOUSAIDIA NA KUUPUNGUZIA MAJUKUMU MENGI UONGOZI WA JUU 5:KUAJILI KOCHA MPYA ALIYE BORA AMBAYE ATAKUJA KUITENGENEZA SIMBA IMARA AU KAMA TIMU ANAKABIDHIWA MGUNDA NI SAWA ILA USHIRIKIANO APATIWE WA KUTOSHA 6: KUONDOA WACHEZAJI WOTE AMBAO UMRI UMEENDA ,WACHEZAJI WASIO NA MAPENZI TENA NA SIMBA YETU, WACHEZAJI AMBAO WAMESHATUMIKA SANA ,WACHEZAJI WASIO NA NIDHAMU NA WANAOUSUMBUA UONGOZI MARA KWA MARA 7: KUWAONGEZEA MIKATABA WACHEZAJI AMBAO BADO NI MUHIMU KWA KLABU NA KUWABORESHEA MIKATABA WALE AMBAO WAMEJITOA SANA KWENYE TIMU 8:KUFANYA USAJILI ULIO BORA WENYE KUZINGATIA MATAKWA YA KLABU NA KUANGALIA WACHEZAJI AMBAO UMRI WAO MDOGO PIA HAPA NI LAZIMA KOCHA ASHIRIKISHWE KAMA KUNA LINGINE LA KUONGEZEA WEKA KWENYE COMMENT HAPO @kipato_simbasc ✍✍✍✍✍
NGOJA TUPEANE SOMO KIDOGO KUHUSU CAF CHAMPIONS LEAGUE, CAF CONFEDERATION CUP NA AFRICAN FOOTBALL LEAGUE NI HIVI KUHUSU ILE ISHU YA KUFUTWA KWA MASHINDANO YA SHIRIKISHO NA KLABU BINGWA KUWA KAMA SHIRIKISHO NA AFL KUWA MASHINDANO MAKUBWA ZAIDI LILE LILIKUWA NI PENDEKEZO TU LA BAADHI YA VIONGOZI WA CAF ILA HALIKUPITISHWA KWAHYO BAADA YA PENDEKEZO LILE IKAONEKANA KUNA VIONGOZI WENGI WALIPINGA SABABU ITAENDA KUPOTEZA LADHA FLANI YA KLABU BINGWA NA ITAKUWA KAMA KUNA UPENDELEO FLANI KWAKUWA AFL IMEBESI KWENYE ZILE TIMU ZILIZO NA POINT NYINGI KWAHYO KUNA KIKAO KILIFANYIKA INGAWA BADO MAAMUZI YA MWISHO HAYAJATOLEWA KWAMBA SHIRIKISHO IMEFUTWA AU HAIJAFUTWA INGAWA INASEMEKANA AFL IMEKATALIWA NA ITAFANYIKA TU KAMA ILIVYOFANYIKA MWAKA HUU NA SIMBA ALISHIRIKI KWAHYO KWENYE LIGI YETU BINGWA NA ANAYESHIKA NAFASI YA PILI WANAENDA KLABU BINGWA NA BINGWA WA CRDB CONFEDERATION CUPO NA MSHINDI WA 3 WANAENDA SHIRIKISHO KWAHYO WANASIMBA HAKUNA MTEREMKO KAMA TULIVYOZANI LAZIMA TUPAMBANE TUSHIKE NAFASI YA PILI TU ✍✍✍✍✍✍✍@KIPATO_SIMBASC
MASHABIKI NDO WENYE SIMBA YAO NA WAMESHASEMA HAWANA IMANI NA MANGUNGU,SALIM NA KAJULA KWANINI MOO YUKO KIMYA SANA ? NINI KIMEJIFICHA NYUMA YA PAZIA ? INAMAANA YEYE ANAFURAHIA HAYA YANAYOTOKEA ? SAWA HANA MAMLAKA YA KUMTOA MANGUNGU KWAKUWA KACHAGULIWA NA WANACHAMA JE HAWA AKINA TRY AGAIN NA KAJULA NAO HAWEZI KUWATOA KWENYE VYEO VYAO ? TAJILI WATOE TRY AGAIN NA KAJULA HUYU MANGUNGU ATAKOSA NGUVU NA SAPOTI ITAKUWA NI RAHISI KUJIUZULU YEYE NA IKISHINDIKANA WANACHAMA WATAITA MKUTANO WA DHARURA WATAMCHOMOA TU TUNAHITAJI VIONGOZI WA MPIRA @moodewji
Matusi kejel tunapitia magumu sana sisi MASHABIK 🙏 @consneysimba @consneysimba @consneysimba . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #TotalEnergiesCAFCC #NguvuMoja #CAFCC #simbasc #simbanguvumoja #simbayetu #simbasctanzania #simbasportsclub #sis #simbascnguvumoja #simbainlondon #simba_wa_daresalam #simbawamorogoro # #nbcpremierleague #azamtv #a #simbasc #simbasctanzania #simbasportsclub #simbanguvumoja #simbah #simbaday #simbasportsclub #simbaraha #simbaday #simba #simbasupercup #simbasportclub #simbatv simba #simbasc #simbasctanzania #simbasportsclub #simbanguvumoja #simbah #simbasportsclub #simbaraha #simba #simbasupercup #simbasportclub #simbatvsat1simba simba #simbasc #simbasctanzania #simbanguvumoja #simbah #simbaday #simbasportsclub #simbaraha #simbaday #simba #simbasupercup #simbasportclub #simbasupercup #simbasportclub #simbatvsat1simba zania #simbasportsclub #simbanguvumoja #simbah #simbaday #simbasportsclub #zanzbar #zambia #nailsofinstagram #nairobikenya
🤣🤣🤣🤣 @consneysimba @consneysimba @consneysimba . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #TotalEnergiesCAFCC #NguvuMoja #CAFCC #simbasc #simbanguvumoja #simbayetu #simbasctanzania #simbasportsclub #sis #simbascnguvumoja #simbainlondon #simba_wa_daresalam #simbawamorogoro # #nbcpremierleague #azamtv #a #simbasc #simbasctanzania #simbasportsclub #simbanguvumoja #simbah #simbaday #simbasportsclub #simbaraha #simbaday #simba #simbasupercup #simbasportclub #simbatv simba #simbasc #simbasctanzania #simbasportsclub #simbanguvumoja #simbah #simbasportsclub #simbaraha #simba #simbasupercup #simbasportclub #simbatvsat1simba simba #simbasc #simbasctanzania #simbanguvumoja #simbah #simbaday #simbasportsclub #simbaraha #simbaday #simba #simbasupercup #simbasportclub #simbasupercup #simbasportclub #simbatvsat1simba zania #simbasportsclub #simbanguvumoja #simbah #simbaday #simbasportsclub #zanzbar #zambia #nailsofinstagram #nairobikenya
Kikosi cha mnyama vipi kitatoboa mbele ya namungo fc . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #TotalEnergiesCAFCC #NguvuMoja #CAFCC #simbasc #simbanguvumoja #simbayetu #simbasctanzania #simbasportsclub #sisinisoka #simbasupercup #simbaapp #simba🦁 #simbascnguvumoja #simbainlondon #simba_wa_daresalam #simbawamorogoro #tpl #nbcpremierleague #azamtv #azamsports2 #tanzaniapremierleague #azamfederationcup #azamsports1hd #azamtwo #kaliakoodarby #sportarena #zanaco #lusaka #zambia
Mambo maleshi new design 35000 tu unapendeza mjini👆🏼🔥🔥🔥 narung'ombe na nyamwz mikoan tuntuma 0677808082 #yatapitachallenge #zuwena #tiktok #facebook #diamondplatnumz #harmonize #treding #cristianoronaldo #rayvanny #tiktoktanzania🇹🇿 #twitter #simba #simbasc #yangasc #carrymastory #mrchambuu #mrchambuu1 #airteltanzania #wasafisportsarena #millardayoupdates #millardayoupdates #simbascnguvumoja #nguvumoja #tumewasha #tanzania #bagamoyo #taliki
Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Follow @ngailo_sport @ngailo_sport @ngailo_sport . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #TotalEnergiesCAFCC #NguvuMoja #CAFCC #simbasc #simbanguvumoja #simbayetu #simbasctanzania #simbasportsclub #sisinisoka #simbasupercup #simbaapp #simba🦁 #simbascnguvumoja #simbainlondon #simba_wa_daresalam #simbawamorogoro #tpl #nbcpremierleague #azamtv #azamsports2 #tanzaniapremierleague #azamfederationcup #azamsports1hd #azamtwo #kaliakoodarby #sportarena #zanaco #lusaka #zambianweddings
ORIGINAL CAR PERFUME 🏷️ Utazipata kwa bei ya jumla na reja reja, 📩Kwa maelezo zaidi 📌 🔋🔋💪 . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #TotalEnergiesCAFCC #NguvuMoja #CAFCC #simbasc #simbanguvumoja #simbayetu #simbasctanzania #simbasportsclub #sisinisoka #simbasupercup #simbaapp #simba🦁 #simbascnguvumoja #simbainlondon #simba_wa_daresalam #simbawamorogoro #tpl #nbcpremierleague #azamtv #azamsports2 #tanzaniapremierleague #azamfederationcup #azamsports1hd #azamtwo #kaliakoodarby #sportarena #zanaco #lusaka #zambia
MWAMBA . 18 —NI mara ya 18 kwa Kevin De Bruyne kutoa asisti mara mbili katika mchezo wa Ligi Kuu England (mbili au zaidi); zaidi ya mchezaji yeyote katika histori ya mashindano hayo. Follow @ngailo_sport @ngailo_sport . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . #TotalEnergiesCAFCC #NguvuMoja #CAFCC #simbasc #simbanguvumoja #simbayetu #simbasctanzania #simbasportsclub #sisinisoka #simbasupercup #simbaapp #simba🦁 #simbascnguvumoja #simbainlondon #simba_wa_daresalam #simbawamorogoro #tpl #nbcpremierleague #azamtv #azamsports2 #tanzaniapremierleague #azamfederationcup #azamsports1hd #azamtwo #kaliakoodarby #sportarena #zanaco #lusaka #zambianwildlife
TUNGEKUWA TUNAFATA SLOGAN YETU YA NGUVU MOJA TIMU YETU INGEKUWA NA MABADILIKO MAKUBWA YA KIUONGOZI LAKINI TATIZO SIE MASHABIKI NJAA ZINATUSUMBUA SANA KUNA WATU KABLA YA KWENDA ZANZIBAR TULIKUWA TUNAONGEA LUGHA MOJA KUHUSU UONGOZI (UJIUZULI) LAKINI CHA AJABU WAMEENDA ZANZIBAR WAKAPATA CHAKULA CHA USIKU NA VIONGOZI WAO WAKAPEWA NA VIBAHASHA WAMERUDI HAPA WAPO KIMYAAAA TENA MBAYA ZAIDI WENGINE WAMEANZA NA KUSIFIA TENA UONGOZI 🤣🤣🤣🤣