jestpic.com

Discover Best Images of World

#food #travel #sports #news #may #saturday

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Prof. Elifas Bisanda, awataka viongozi wapya wa chuo hiki kutumikia nyadhifa zao kwa weledi na kushirikiana na mamlaka zilizopo ili kuiendesha taasisi kwa kufuata miongozo na sheria zilizowekwa.<br /><br />#OUT #ODL #affordablequalityeducationforall #elimuborananafuukwawote

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Prof. Elifas Bisanda, awataka viongozi wapya wa chuo hiki kutumikia nyadhifa zao kwa weledi na kushirikiana na mamlaka zilizopo ili kuiendesha taasisi kwa kufuata miongozo na sheria zilizowekwa.

#OUT #ODL #affordablequalityeducationforall #elimuborananafuukwawote

4/30/2024, 7:10:06 PM