bbcswahili images

Discover Best bbcswahili Images of World

#food #travel #sports #news #april #saturday

Magazeti ya Tanzania Leo April 27,2024. Swipe kushoto kusoma vichwa vya Magazeti mbalimbali. #Zonetvupdates

4/27/2024, 5:20:08 AM

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Lucy Sangu Aprili 26, 2024 akitoa elimu ya usalama safarini kwa abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Stendi ya Mbalizi kuelekea Mkwajuni Wilaya ya Chunya. Aidha, amewataka abiria kujua haki na wajibu wao wawapo safarini ikiwa ni pamoja na kudai tiketi, kufunga mkanda wa usalama na kutoa taarifa za mwenendo usiofaa wa Dereva ambao unaweza kuhatarisha maisha yao. Sambamba na hayo, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Lucy Sangu amesisitiza suala la usalama wa mizigo na mali zao ndani ya chombo cha usafiri kwa kuwataka kuwa makini ili kuepuka upotevu wa mali. #Zonetvupdates

4/27/2024, 12:41:43 AM

#cafchampionleague FT:AL AHLY 3-0 TP MAZEMBE ⚽️ 68' AbdeMonem ⚽️ 83' Abou Ali ⚽️ 90+2' Tawfik Aggregate (3-0) #zonetvsports

4/27/2024, 12:39:15 AM

#cafchampionsleague FT: MAMELODI SUNDOWNS 0-1 ESPERANCE DE TUNIS ⚽️ 57' Bouchniba Aggregate (0-2) #zonetvsports

4/27/2024, 12:35:01 AM

FT-CAF CHAMPIONS LEAGUE Mamelodi Sundowns 0-1 Esparance De Tunis Aggregate 0-2 Al Ahly 3-0 Tp Mazembe Aggregate 3-0 °Mazembe na Sundowns wanatupwa nje °Al Ahly na Esparance De Tunis watakipiga fainali

4/26/2024, 11:19:35 PM

Baada ya kipigo cha goli 4-0 walicho kipata Leeds United mbele ya QPR kimewapa nafasi Leicester City kupanda daraja mpaka ligi kuu ya Uingereza kwa mara nyingine wakiwa na alama zao 94 walizo kusanya kwenye michezo 44 waliocheza mpaka sasa ya Championship huku wakiw bado na mchezo mmoja mkononi. Mbali na kupoteza leo bado Leeds anayo nafasi ya kupanda ligi kuu akiungana na Leicester City kama akifanikiwa kushinda michezo yake iliyo baki,mpaka sasa Leeds yupo nafasi ya 2 hapo Champioship akiwa na alama zake 90 alizo kusanya kwenye michezo 45 aliyo cheza. #WestUPDATES

4/26/2024, 11:09:12 PM

UGIRIKI Ukungu wa ajabu wa rangi ya chungwa ulienea hewani huko Athene, Ugiriki ambapo wingu la vumbi lilivuma kutoka jangwa la Sahara. - Ni moja ya matukio mabaya zaidi kuwahi kutokea Ugiriki tangu 2018, kwa mujibu wa maafisa. #bbcswahili

4/26/2024, 10:48:44 PM

#cafchampionsleague HT:AL AHLY 0-0 TP MAZEMBE Aggregate (0-0) #zonetvsports

4/26/2024, 10:18:17 PM

#cafchampionsleague HT:MAMELODI SUNDOWNS 0-0 ESPERANCE Aggregate (0-1) #zonetvsports

4/26/2024, 10:17:32 PM

Klabu ya Liverpool imefikia makubaliano na Feyenoord juu ya kumchukua mkufunzi wa Klabu hiyo ya Uholanzi,Arne Slot kwa ajili ya kuwa kocha mkuu klabuni hapo akichukua mikoba ya Jürgen Klopp ambaye ataondoka klabuni hapo mwisho wa msimu huu. Slot (45) anatarajiwa kuanza kazi kama kocha mkuu ya Liverpool kuanzia msimu ujao baada ya Feyenoord kuafikiana na Liverpool juu ya fidia ya kumwachia kocha huyo raia wa Uholanzi. #WestUPDATES

4/26/2024, 10:08:59 PM

Mchezo kati ya Mamelodi Sundowns dhidi ya Esparance de Tunis umesimamishwa kwa muda baada ya mvua kubwa zilizo ambatana radi kunyesha kwa wingi kati mji wa Pretoria unapo cheza mchezo huo.

4/26/2024, 8:47:50 PM

0759602512 Hp envy 2sk79pa core i5, ram 12gb, ssd 256, nvidia GeForce Mx 150 2gb. Tsh1,290,000/= 6monts warranty. . . . . . . . . . . . #diamondplatnumz #alikiba #nguvumoja #nguvumoja✊🏽 #rayvanny #veta #love #dit #alikiba #nguvumoja #beauty #kondeboy #wasafimedia #nmb #bbcswahili #daimambelenyumamwiko #yangasc #simbasc #asas #efm #wasafi #clouds #cloudsfm #udom #duce #ifm #nit #udsm #simbasc #shule #uza_na_nunua_gari_kwa_aman #zuchu #uza

4/26/2024, 8:41:28 PM

Al Ahly v TP Mazembe Line UP

4/26/2024, 8:05:27 PM

wataam na mafundi bomba mwenye uzoefu utawapa kwetu @Plumbing_Tanzania . . . . . . . . . . . . . . . . . #mangekimambi81 #tulia.ackson #yangasc #darceramica_center #simbasctanzania #drofweneke #mbowejames #bbcswahili

4/26/2024, 7:36:52 PM

Esparance v Mamelodi Line UP

4/26/2024, 7:25:25 PM

🔥🔥🔥 CHAURO TAJ MAHAL 🔥🔥🔥 📢 MOMBASA BRANCH ZANZIBAR. 📢 Tunapenda kuwajulisha wapendwa wateja wetu Tumefungua duka jipya la Chauro Taj Mahal kurahisisha upatikani wa bidha zetu. 📍Mombasa Njia ya maungani kabla ya duka la TERRY SHOP upande wa kushoto kutokea mjini or opposite na kwa BI SHERRY 🛵 Delivery : 0777 174167 Mbweni HQ 🛵 Delivery : 0672 495202 Mombasa Branch Time : 8 am to 10 pm everyday Nyote mnakaribishwa Go for Taj....the best taste money can buy 🔥🔥🔥🔥🔥 Zanzibar. 🔥🔥🔥🔥🔥 Tiktok. : chaurotajmahalznz Intagram : @chauro_tajmahal2020 @tajmahal_sweetmart 🥰 Click below to join our whatsapp group https://chat.whatsapp.com/LkRIt59sNy31w71aLYMfso #zanzibar🇹🇿 #zanzibarfamous #nunu_yaa_nunu_collection #forodhani #azamsports2 #azamtv #azamtwo #diamondplatinumz #alikiba #mamaruu_onlineshop #carrymastory #makachu_forodhani #clouds #officialzuchu #mwananchi_official #wasafitv #swahilitvseries #cloudstv #dizzimonline #wcb_wasafi #swahilitimes #bongofive #mchochezi_wa_instar #bbcswahili #efmtanzania #jamiiforums #idrissultan #juakali_tamthilia #millardayo #itsdvoice

4/26/2024, 7:10:06 PM

Kikosi cha USM Algiers kimeanza safari kuelekea Morocco kwa ajili ya mchezo wa marudiano w mkondo wa pili wa kombe la shirikisho,awali kulikuwa na wasiwasi huenda klabu hio ikasusia mchezo huo baada ya Berkane kuzawadia magoli 3-0 baada ya kutotokea uwanjani kutokana madai ya kubadilishiwa jezi. Mchezo wa mkondo wa kwanza baina vilabu hivyo ulishindwa kuchezwa baada ya Berkane kutotokea uwanjani kwa kile walicho dai kunyang'anywa jezi zao pindi walipo fika Airport nchini Algeria. #WestUPDATES

4/26/2024, 4:50:39 PM

Mtoto aliyeokolewa kutoka tumboni mwa mamake aliyekuwa mahututi baada ya shambulizi la anga la Israel kusini mwa Gaza amefariki, BBC imebaini. - Mtoto Sabreen al-Sakani alizaliwa kupitia upasuaji katika hospitali ya Rafah muda mfupi baada ya saa sita usiku Jumapili. - Hata hivyo alifariki siku ya Alhamisi na amezikwa karibu na mama yake. - Mtoto Sabreen alikuwa miongoni mwa watoto 16 waliouawa katika mashambulizi mawili ya anga huko Rafah wikendi iliyopita. - Wote waliuawa katika shambulio la bomu lililolenga nyumba walimokuwa wakiishi. - - #bbcswahili #gaza #vita #watoto #israel

4/26/2024, 4:42:53 PM

Sweden imekuwa nchi ya kwanza kukataa kutumia (VAR) baada ya maandamano ya mashabiki dhidi ya uanzishwaji wake, pamoja na zaidi ya nusu ya vilabu vinavyoshiriki ligi za madaraja mbalimbali kupinga teknolojia hiyo. #WestUPDATES

4/26/2024, 4:31:35 PM

"Mbio za ubingwa hazijabaki kwa Arsenal na Man City kilichowatokea Liverpool,kupoteza mara mbili mfululizo, inaweza kuwatokea Arsenal,inaweza kututokea sisi. Cha muhimu ni kuwa bado tupo pale. Kuna mechi nyingi za kucheza” ______Pep Guardiola Kocha wa Manchester City. #WestUPDATES

4/26/2024, 2:57:06 PM

Bondia Ardi Ndembo kutoka Congo DR amefariki baada ya kupoteza fahamu kutokana na kipigo alicho kipata kutoka kwa Nestor Santana kwenye pambano la Team Combat League mnamo Aprili 5 huko Miami. Akiwa na umri wa miaka 27, Ndembo alikuwa baba wa watoto wawili alipigwa KO na Nestor Santana wa Las Vegas Hustle. Kulingana taarifa ya gazeti la Marca inasema Ndembo alibaki bila fahamu ulingoni kwa dakika kadhaa zilizojaa mateso licha ya kukimbizwa hospitali ya Miami kwa haraka, kifo chake kilithibitishwa muda mfupi baadaye. #WestUPDATES

4/26/2024, 2:03:22 PM

🔴Live chat: Nokia E72 version (Old one) ☝️ 🏷Specs The Nokia E72 was released in 2009 and is a 3G-enabled smartphone that can connect to the internet using a cellular data connection or Wi-Fi. Tsh 200,000/= Cash For more product please visit⤵️ www.Instagram.com/liftlife_choicetz #bongobongo #bungeni #efm #ikulumawasiliano #mwenge #bungeefitness #dodoma #bbcswahili #jeshini #zuchu #itv #mbeyacity #zanzibarbeach #vijana #MbeyaKwanza #dodoma #ikulu #makuburi #iringampya #iringanbayu #vijana_real_estate_company_limited #zanzibarisland #dodomariani #zanzibardestination #zanzibar #iringacelebrities #iringa #mbeya

4/26/2024, 11:16:12 AM

Ukungu wa ajabu wa rangi ya chungwa ulienea hewani huko Athene, Ugiriki ambapo wingu la vumbi lilivuma kutoka jangwa la Sahara. - Ni moja ya matukio mabaya zaidi kuwahi kutokea Ugiriki tangu 2018, kwa mujibu wa maafisa. - - #bbcswahili #ugiriki #mazingira #maajabu #mabadilikoyatabianchi

4/26/2024, 11:08:02 AM

Magazeti ya Tanzania Leo April 26,2024. Swipe kushoto kusoma vichwa vya Magazeti mbalimbali #Zonetvupdates

4/26/2024, 5:58:48 AM

Rashid Ally (42) mkazi wa Kabuku Wilaya ya Handeni na Ramia Rashid (48) mkazi wa Kwedibago Handeni wamehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kubaka mama na watoto wawili. Wakati akisoma hukumu hiyo chini ya kifungu cha sheria namba 130 (1) na kifungu cha 131 A (1) na (2) cha kanuni ya adhabu, sura ya 16 marejeo ya mwaka 2022 Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya Handeni Mhe. Veronica Siao alibainisha kuwa watuhumiwa hao walitenda kosa la Kubaka Machi 18, 2024 majira ya saa saba usiku katika maeneo ya Kwakudege Wilaya ya Handeni ambapo wahanga wakiwa watatu ambao ni mama na watoto wake wawili mmoja akiwa na umri wa miaka 19 akiwa na ujauzito wa miezi 9, na mtoto mwingine akiwa na umri wa miaka 13. Mhe. Siao aliendelea kueleza kuwa usiku wa tukio washtakiwa walifika nyumbani kwa wahanga na kuwakuta wahanga wakipika daku ambapo waliwaamuru kuvua nguo zao zote na kuwatishia kwa silaha aina ya panga, rungu na fimbo ambapo baada ya kuwaamuru kuvua nguo hatimae washtakiwa hao kuwabaka mmoja baada ya mwingine huku wahanga hao wakitakiwa kila mmoja kumshuhudia mwenziwe akiwa anafanyiwa kitendo hicho kiovu. Baada ya mahakama kujiridhisha na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka imejiridhisha kwamba upande wa mashtaka imethibitisha kutendeka kwa makosa hayo pasipo shaka na kuwatia hatiani kwa makosa mawili ambayo kubaka kwa kikundi (Gang Rape) na kubaka mtu mmoja mmoja ambapo vifungo vyake vitaenda kwa pamoja! Kwa upande wake Mwendesha mashtaka wa Wilaya ya Handeni Ndugu Matiku Nyangero ameiomba mahakama iwapatie watuhumiwa adhabu ambayo inaelekezwa na sharia na kwa kufuata uzito wa kosa ili iwe fundisho kwa watu wengine. Akiendelea kusoma hukumu hiyo Mhe. Veronica Siao alisema kwa kosa la kwanza ambalo ni Kubaka kwa kikundi (Gang Rape) watuhumiwa wote watatumikia kifungo cha maisha jela na kwa kosa la pili ambalo ni la kubaka watuhumiwa watatumikia miaka 30 Jela kila mmoja. #Zonetvupdates

4/25/2024, 11:34:47 PM

Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema tayari amewasili nchini kwa ajili ya kushiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania ambapo amepokelewa na Waziri wa Madini Mhe. @anthonymavunde (Mb). #Zonetvupdates

4/25/2024, 11:19:30 PM

Taarifa Kwa umma. #Zonetvupdates

4/25/2024, 11:02:54 PM

Rais wa Jamhuri ya Kenya William Rutto amewasili nchini na kupokelewa na Waziri wa Madini Mhe. @anthonymavunde ambapo atashiriki katika maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar #Zonetvupdates

4/25/2024, 11:01:14 PM

Rais wa Marekani Joe Biden ametia saini muswada wa sheria ambao endapo utakiukwa mtandao wa TikTok utapigwa marufuku kutumika nchini humo. Baraza la wawakilishi la Bunge la Marekani lilipitisha muswada huo Jumamosi, huku Baraza la Senet likiidhinisha muswada huo siku ya Jumanne usiku. Sheria hiyo mpya inampatia miezi 9 mmiliki wa mtandao huo kutoka nchini China Shou Zi Chew kuuza sehemu ya uthibiti wake la sivyo TikTok itapigwa marufuku nchini humo. Hata hivyo kwa upande wa Shou ameonesha kupinga muswada huo akidai kuwa hatua hiyo ni mpango wa wanasiasa nchini humo kuwaminya raia wake ambao wamekuwa wakitumia mtandao huo. Tembelea Youtube channel ya Z TV Online kwa taarifa zaidi, Gusa link kwenye Bio. #zonetvupdates

4/25/2024, 10:07:05 PM

Mzigo mpya mwengine umewasili karibuni sana 🔥🔥🔥 CHAURO TAJ MAHAL 🔥🔥🔥 📢 MOMBASA BRANCH ZANZIBAR. 📢 Tunapenda kuwajulisha wapendwa wateja wetu Tumefungua duka jipya la Chauro Taj Mahal kurahisisha upatikani wa bidha zetu. 📍Mombasa Njia ya maungani kabla ya duka la TERRY SHOP upande wa kushoto kutokea mjini or opposite na kwa BI SHERRY 🛵 Delivery 0777 174167 Time : 8 am to 10 pm Nyote mnakaribishwa Go for Taj....the best taste money can buy 🔥🔥🔥🔥🔥 Zanzibar. 🔥🔥🔥🔥🔥 Tiktok. : chaurotajmahalznz Intagram : @chauro_tajmahal2020 @tajmahal_sweetmart 🥰 Click below to join our whatsapp group https://chat.whatsapp.com/LkRIt59sNy31w71aLYMfso #zanzibar🇹🇿 #zanzibarfamous #nunu_yaa_nunu_collection #forodhani #azamsports2 #azamtv #azamtwo #diamondplatinumz #alikiba #mamaruu_onlineshop #carrymastory #makachu_forodhani #clouds #officialzuchu #mwananchi_official #wasafitv #swahilitvseries #cloudstv #dizzimonline #wcb_wasafi #swahilitimes #bongofive #mchochezi_wa_instar #bbcswahili #efmtanzania #jamiiforums #idrissultan #juakali_tamthilia #millardayo #itsdvoice

4/25/2024, 6:25:00 PM

SILENT AIR COMPRESSOR ⁣ Hii ni compressor ya upepo nzuri kwa kujazia gari,pikipiki, na pia hutumika kwa kupakia rangi. Compressor hii ni silent ninzuri kwamaana haina kelele wakati wautendaji wakazi.. Bei zake:- ✅ 25lts 400,000 ✅ 50lts 480,000 Call / Whatsapp 0718 121 111 0676 024 545 www.dotcomachinery.co.tz ______________________________________________________ Junction of Morogoro road & India street, Dar es Salaam. #wcbforlife  #wasafimedia  #wasafi  #wcb_tweets  #diamondplatinumz  #diamond_tweets  #zuchu  #sukari  #rayvanny  #harmonize_tz  #hajismanara  #bbcswahili  #fahamuafyaupdates  #fahamuzaidi  #fahamu  #ajira  #daressalaam  #tanzania  #viwanda  #viwandavidogovidogo  #ujasiriamali

4/25/2024, 4:20:51 PM

"Inachukiza sana na kwa kweli [inaleta] taswira mbaya kwa Namibia, milima wa Big Daddy sio tu mahali pa kupumzika kwa watalii bali kwa familia pia" - Mamlaka nchini Namibia zimeshutumu watalii waliopiga picha za utupu katika moja ya vivutio vya juu nchini humo - eneo la ‘Big Daddy dune’ katika jangwa la Namibia. - Picha na video za watalii hao watatu wa kiume, zinawaonesha wakiwa watupu kabisa kwenye kichanga, karibu na nguo zao. - Picha na video za watalii hao zilisambazwa na kuzua hisia kali. - Kusoma zaidi tembelea ukurasa wa BBCSwahili - - - #bbcswahili #namibia #utalii

4/25/2024, 4:02:35 PM

0759602512. imac 27", core i5, 16Gb ram, 500gb hdd. Price 740K . . . . . . . . . . . #diamondplatnumz #alikiba #nguvumoja #nguvumoja✊🏽 #rayvanny #veta #love #dit #alikiba #nguvumoja #beauty #kondeboy #wasafimedia #nmb #bbcswahili #daimambelenyumamwiko #yangasc #simbasc #asas #efm #wasafi #clouds #cloudsfm #udom #duce #ifm #nit #udsm #simbasc #shule #uza_na_nunua_gari_kwa_aman #zuchu #uza

4/25/2024, 10:44:39 AM

🍻 Theluthi moja ya watoto wenye umri wa miaka 11 na zaidi ya nusu ya watoto wa umri wa miaka 13 nchini Uingereza wamekunywa pombe, na kuifanya nchi hiyo kuongoza kati ya nchi 44 zilizochunguzwa katika ripoti ya wataalam wa afya duniani. - Ripoti ya Shirika la Afya Duniani (WHO) ilisema unywaji wa pombe, ambayo inaweza kuharibu ubongo wa watoto, kumefanywa kuwa jambo la kawaida. - Wasichana waligundulika kuwa na uwezekano zaidi kuliko wavulana kunywa na kulewa wakiwa na umri wa miaka 15 huko Uingereza. - Kufahamu zaidi tembelea tovuti ya BBCSwahili - - - #bbcswahili #uingereza #afya #watoto #madharayapombe

4/25/2024, 10:13:45 AM

Magazeti ya Tanzania Leo April 25,2024. Swipe kushoto kusoma vichwa vya Magazeti mbalimbali. #Zonetvupdates

4/25/2024, 5:35:13 AM

0759602512. Wireless rechargeable Keyboard compatible with: laptop, desktop, tablets, smartphones and smart tv available for 50,000 only. . . . . . . . . . . . #diamondplatnumz #alikiba #nguvumoja #nguvumoja✊🏽 #rayvanny #veta #love #dit #alikiba #nguvumoja #beauty #kondeboy #wasafimedia #nmb #bbcswahili #daimambelenyumamwiko #yangasc #simbasc #asas #efm #wasafi #clouds #cloudsfm #udom #duce #ifm #nit #udsm #simbasc #shule #uza_na_nunua_gari_kwa_aman #zuchu #uza

4/25/2024, 5:17:33 AM

FULL TIME EPL Liverpool 0-2 Everton Crystal Palace 2-0 Newcastle Manchester United 4-2 Shieffield United Wolves 0-1 Bournemouth French Ligue 1 PSG 4-2 Lorient Lille 0-2 Monaco Marsseile 2-2 Nice Copa Italia Atalanta 4-1 Fiorentina

4/24/2024, 11:15:37 PM

Ikiwa imeshachezwa michezo 38 ya ligi kuu ya Uingereza tayari magoli 1085 yameshafungwa katika michezo hio ndani ya msimu mmoja.

4/24/2024, 10:18:51 PM

Baada ya kikao kizito hii leo kati ya Rais wa Fc Barcelona Juan Laporta, Xavi na Deco ambaye ni Mkurugenzi wa michezo hatimaye Xavi Hernandez ametengua uamuzi wake wa kuondoka klabuni hapo. Rasmi Xavi Hernandez ataendelea kuwa kocha Mkuu wa klabu hiyo kwa msimu ujao. #WestUPDATES

4/24/2024, 10:01:42 PM

#muunganocup2024 FT:KVZ FC 0-2 SIMBA SC #zonetvsports

4/24/2024, 9:46:21 PM

#muunganocup2024 HT:KVZ FC 0-1 SIMBA SC ⚽️ Freddy #zonetvsports

4/24/2024, 8:17:02 PM

Take a moment and embrace yourself🤳 Appreciation @its_bossgia @riethycharlie1 Smiles Ubuyu is now available at DITmain campus(Bibi Titi rd/Morogoro Rd), CBE, UDSM, CFR, TIA, Kurasini and neighborhoods🇹🇿🔥 Prices : Tzs. 500/1000 per packets, 5,000 per Kg🤳 Flavours🇬🇧: Vanilla, Chilly, Milky, Chocolate/Tamarindi Ladha🇹🇿: Vanilla, Pilipili, Maziwa, Chocolate/Ukwaju #KilaMtuApate #SmilesUbuyu #chuolife #smiles #ubuyu #dit #udsm #cfr #tia #tudarco #traveltanzania #bbcswahili #itvtanzania #wasafimedia #cloudsfmtz #crownmedia

4/24/2024, 7:59:49 PM

Fresh goods just arrived katika duka jipya tushafungua rasmi karibuni nyote 🔥🔥🔥 CHAURO TAJ MAHAL 🔥🔥🔥 📢 MOMBASA BRANCH ZANZIBAR. 📢 Tunapenda kuwajulisha wapendwa wateja wetu Tumefungua duka jipya la Chauro Taj Mahal kurahisisha upatikani wa bidha zetu. 📍Mombasa Njia ya maungani kabla ya duka la TERRY SHOP upande wa kushoto kutokea mjini 🛵 Delivery 0777 174167 Time : 7 am to 10 pm everyday Nyote mnakaribishwa Go for Taj....the best taste money can buy 🔥🔥🔥🔥🔥 Zanzibar. 🔥🔥🔥🔥🔥 Tiktok. : chaurotajmahalznz Intagram : @chauro_tajmahal2020 @tajmahal_sweetmart 🥰 Click below to join our whatsapp group https://chat.whatsapp.com/LkRIt59sNy31w71aLYMfso #zanzibar🇹🇿 #zanzibarfamous #nunu_yaa_nunu_collection #forodhani #azamsports2 #azamtv #azamtwo #diamondplatinumz #alikiba #mamaruu_onlineshop #carrymastory #makachu_forodhani #clouds #officialzuchu #mwananchi_official #wasafitv #swahilitvseries #cloudstv #dizzimonline #wcb_wasafi #swahilitimes #bongofive #mchochezi_wa_instar #bbcswahili #efmtanzania #jamiiforums #idrissultan #juakali_tamthilia #millardayo #itsdvoice

4/24/2024, 7:15:29 PM

#unionpremierleague Kikosi cha @simbasctanzania kitakachoanza dhidi ya KVZ Fc kwenye Kombe la Mungano. #Zonetvupdates

4/24/2024, 6:40:50 PM

#unionpremierleague Kikosi cha KVZ Fc kitakachoanza dhidi ya @simbasctanzania kwenye Kombe la Mungano. #Zonetvupdates

4/24/2024, 6:38:34 PM

Shirikisho la soka Afrika,CAF limeipa ushindi wa goli 3-0 klabu ya RS Berkane ya Morocco dhidi ya USM Algiers ya Algeria baada ya klabu hiyo kutotokea uwanjani katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la shirikisho jumapili iliyopita. Katika kikao chake CAF imefikia maamuzi hayo baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa klabu hiyo ya Morocco kubadilishiwa jezi walizo taka kuzitumia katika mchezo huo muda mchache kabla ya mchezo kuanza. #WestUPDATES

4/24/2024, 5:56:21 PM

Ticket za tamasha la @maverickcitymusic #kingdomworldtour2024 Zimeanza kuuzwa! Note:Ticket zinazouzwa kwa sasa ni presale Vip tickets na nyingine Ambapo kuna Ticket ambqzo utawezakuwaona maverick city na kirk franklin na kuwasalimia Hivyo wahi mapema hisi presale Tickets Kwa nchi nyingine kama SOUTH AFRIKA TIKCET HIZI ZIKO SOULD OUT TAYARI . Hivyo usikose. USIACHE KUTUFOLLOW @gospeltothenationstz @gospeltothenationstz @gospeltothenationstz Kwa jumbe za,follow @cuthbert_muro x @timothysambwe x @hurumacharles -- Like & Share - - - - #hamasika #tonykapola #gospeltothenationsz #swahilimotivation #swahiliinspiration #swahiliquotes #mafanikio #motivation #bbcswahili #tanzania #malengo #familia #mwanamke #inspiration #jewajua #ujasiriamali #vijana #eastafrica #mwanaume #binti #tajirika #kijana #wazolaleo #alikiba #kingkiba #diamondplatnumz #nukuuzakiswahili #rafiki #globalgospelimpact

4/24/2024, 5:43:46 PM

JE? Nini nilikuwa kinajadiliwa...✍️ Cc:@afisa3_official #HABARI #Chiefupdates #bbcswahili #CnnNews #nasimamanasamia #nasimamanaraiswangu

4/24/2024, 5:15:50 PM

FT'NBC PL Yanga 0-0 JKT Tanzania

4/24/2024, 5:12:22 PM

#NBCPremierLeague Full Time : JKT Tanzania 0-0 Yanga Sc #Zonetvupdates

4/24/2024, 4:55:01 PM

Watu saba wa familia moja ya Kiislamu mashariki mwa Uganda wamekamatwa na mamlaka kwa madai ya kumpiga msichana wa miaka 18 ambaye alihudhuria ibada ya kanisa, polisi wamenukuliwa wakisema. - Msichana huyo anadaiwa kuchapwa viboko 100 na mjombake huku wajomba zake wengine watano wakimshikilia chini, tovuti ya habari ya Nile Post iliripoti. - Picha zilizoonesha msichana huyo akipigwa zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii, na kuzua hisia kali miongoni mwa Waganda. - Kufahamu zaidi taarifa hii tembelea tovuti ya bbcswahili - - - #bbcswahili #uganda #dini #uislamu #ukristo

4/24/2024, 4:08:44 PM

#NBCPremierLeague Half Time : JKT Tanzania 0-0 Yanga SC #Zonetvupdates

4/24/2024, 3:50:14 PM

Michuano ya CRDB BANK FEDERATION CUP hatua ya Robo fainali inatarajia kuanza tarehe 1, Mei 2024 Mechi tatu zitapigwa Mei Mosi tukianza na Ihefu vs Mashujaa, kisha Coastal Union vs Geita Gold halafu tunahitimisha na mabingwa watetezi, Yanga watakaokuwa nyumbani kumalizana na Nyuki wa Tabora. #Zonetvupdates #Zonetvupdates

4/24/2024, 2:56:27 PM

Kikosi Cha JKT Tanzania dhidi ya Yanga Leo. #Zonetvupdates

4/24/2024, 2:43:07 PM

Hii mali ni inatoka kwa @_.niffer._ bosses na kama mnavojua niffer ni mmja tu 🤤💕 Watu wa mwanza karibuni sana tunapatikana mwanza nyegezi mkolani! Deriva ipo mzigo ukifika tu naanza na wewe Kama vilivokuhaidi apo juu😁😁😁. Tembelea account Ya @shop_with_irene444 Kutazama BIdhaa mbalimbali. #KIEMBECHANIFFER#

4/24/2024, 2:39:13 PM

Kikosi Cha Yanga kinachoanza dhidi ya JKT Tanzania #Zonetvupdates

4/24/2024, 2:35:08 PM

Michuano ya kombe la Muungano inatarajia kuanza hii leo ambapo timu ya Simba sports club na KVZ zinatarajia kuchapana majira ya saa mbili na robo usiku katika uwanja wa New Aman Complex Zanzibar. Michuano hii inajumuisha timu nane mbili kutoka Tanzania bara ambazo ni Simba sports na Azam fc na mbli kutoka visiwani Zanzibar ambazo ni KVZ na KMKM. Ikumbukwe kuwa michuano hii imerejea tena baada ya miaka 20 kupita. #Zonetvupdates

4/24/2024, 2:22:48 PM

Orodha ya waamuzi watakaochezesha michuano ya Kombe la Muungano inayoanza leo visiwani Zanzibar ambapo waamuzi watatu wanatoka Tanzania bara na wanne ni kutoka ligi ya visiwani Zanzibar. Waamuzi hao ni ; 1. Ahmed Aragija 2. Ali Ahmada Mbwana 3. Frank John Komba 4. Ali Ramadhani Ibada 5. Amina Samuel Kyando 6. Nassir siyah Msomali 7. Mohamed Simba Khamis #Zonetvupdates

4/24/2024, 2:22:45 PM

Rais wa shirikisho la Soka Zambia (ZAF) Andrew Kamanga amekamatwa huku akikabiliwa na Mashtaka ya ubadhirifu wa fedha za umma na utakatishaji fedha. Rais huyo anatuhumiwa kutumia fedha za Serikali ili kuwawezesha ndugu na rafiki zake, kusafiri kuhudhuria Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), nchini Ivory Coast, mwezi Januari, licha ya wawili hao kutokuwa maafisa wa chama cha soka Zambia, FAZ. Andrew Kamanga anaripotiwa kuwalipia ndugu zake hao wawili kiasi cha K99,000 kama tiketi ya Ndege. #WestUPDATES

4/24/2024, 11:43:30 AM

Tupo ilala machinga complex. Gorofa la upande wa kariakoo, gorofa ya kwanza room number E2- 43 . .. Ukifika chini tafadhali tupigie . . #0692630904. #0765171270. . . . #laptoplifestyle #laptop #laptoprepair #laptoprepairs #laptopservice #bongotrendings #machingawakishua #computerscience #computerrepair #dsmpcosplay #dsmsociety #mwanzamwanza #mikoan #daressalaam #mbeya #kigoma #tanzaniasafari #tanzania🇹🇿 #bbcswahili #wcb_tweets #duka #bongotech255

4/24/2024, 11:05:09 AM

Asante sana BBC Swahili kwa nafasi hii tulikua na wakati mzuri sana na Tu Kapiga story kweli kweli 😀😀😀🔥🔥❤️💪🏾 fuatilia story hii kupitia Mitandao ya Kijamii ya #BBCswahili na ❤️❤️@martha_saranga ❤️❤️mahona_oldschoolcrew @bbcswahili @eladybeard @ndaukagladness @john__gabby @charlesisaac29 @jooclevermahona

4/24/2024, 10:16:19 AM

Kutoka katika kisiwa cha ukerewe kinachopatikana katika ziwa Victoria kaskazini magharibi mwa Tanzania ndipo alikozaliwa na kukulia Anastazia Rugaba @annastazia_rugaba ambaye simulizi ya safari ya kuifikia ndoto yake kuwa sauti ya jamii imejaa vizingiti vingi alivyokabiliana navyo kama mtoto wa kike. - Anastazia ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa idara ya utetezi TWAWEZA, amemsimulia @martha_saranga katika Waridi wa BBC namna mila potofu,unyanyasaji wa kijinsia na fikra hasi vilivyompa ari ya kupigania hatma yake kupitia elimu. - Anastazia Rugaba atasimulia mubashara katika Waridi wa BBC kupitia ukurasa wa Facebook wa BBCSwahili majira ya Saa saba na nusu mchana. - - - #bbcswahili #waridiwabbc #afrikamashariki #tanzania

4/24/2024, 10:06:59 AM

Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu wanamuziki kutoka nchini Marekani #KanyeWest na #Drake wamerudisha tena bifu lao baada ya Kanye kudai kuwa ‘rapa’ huyo amekabidhi nafsi yake kwa shetani ndiyo maana anamsema. Kanye ameyasema hayo kupitia Podcast ya ‘The Download’ amedai kuwa Drake ameenda kinyume na Mungu anavyotaka kwa kukabidhi nafsi yake kwa shetani ili agombane na yeye. Inadaiwa kuwa bifu la wawili hao linatokana na ushindani wao katika muziki huku kila mmoja akitaka kuonekana bora kuliko mwenzie ambapo hivi karibu Kanye ameachia wimbo uiitwao ‘Like That’ aliyomshirikisha #Metroboomin ukidaiwa kuwa ni dongo kwenda kwa Drake. Ikumbukwe kuwa mwaka 2021 wawili hao walikuwa kwenye bifu kama hilo, lakini Desemba mwaka huo huo walimaliza bifu lao na kufanya tamasha la pamoja nchini humo. Tembelea Youtube channel ya Z TV Online kwa taarifa zaidi, Gusa link kwenye Bio #Zonetvupdates

4/24/2024, 2:20:46 AM

FULL TIME-EPL Arsenal 5-0 Chelsea Championship Leicester City 5-0 Southampton Coppa Italia Lazio 2-1 Juventus AFC Al Ain 1-2 Al Hilal

4/23/2024, 10:59:40 PM