jestpic.com

Discover Best Images of World

#food #travel #sports #news #april #saturday

Martin Luther King Jr na Mwl.Julius Nyerere walikuwa mbali sana kijiographia. Mwalimu alikuwa Africa ya mashariki na Martin Luther King yeye alikuwa bara la Marekani ya Kaskazini. Licha ya umbali  uliokuwepo kati yao, wote wawili waliunganishwa na imani moja na maono ya kuiona dunia inayo linda,tetea na kuheshimu haki za binadamu.<br />" Injustice anywhere is a threat to justice everywhere." Ungana na jumuiya ya wanazuoni taasisi ya teknolojia ya Dar es Salaam katika kujadili na kuenzi fikra za hawa mashujaa wawili na kupata masomo/mafundisho yanayoendana na wakati wetu wa sasa. @yunatz @tussaa_org<br /><br />#MLKday#Nyerere#Tanzania#justice#America#Tanzania#USA#Martinlutherking#dream#ihaveadream#freedom#humanrights

Martin Luther King Jr na Mwl.Julius Nyerere walikuwa mbali sana kijiographia. Mwalimu alikuwa Africa ya mashariki na Martin Luther King yeye alikuwa bara la Marekani ya Kaskazini. Licha ya umbali uliokuwepo kati yao, wote wawili waliunganishwa na imani moja na maono ya kuiona dunia inayo linda,tetea na kuheshimu haki za binadamu.
" Injustice anywhere is a threat to justice everywhere." Ungana na jumuiya ya wanazuoni taasisi ya teknolojia ya Dar es Salaam katika kujadili na kuenzi fikra za hawa mashujaa wawili na kupata masomo/mafundisho yanayoendana na wakati wetu wa sasa. @yunatz @tussaa_org

#MLKday #Nyerere #Tanzania #justice #America #Tanzania #USA #Martinlutherking #dream #ihaveadream #freedom #humanrights

1/18/2019, 4:35:20 PM