jestpic.com

Discover Best Images of World

#food #travel #sports #news #may #wednesday

Kumbukumbu ya Martin Luther King Jr. ⁣<br />Marekani yasherehekea Sikukuu ya Martin Luther King Jr. leo Jumatatu kumuenzi mchango wake katika kupigania haki za watu weusi na haki ya kupiga kura. Hii ni moja ya nukuu muhimu aliyoitoa Dkt. King kuhusu Ukandamizaji na jinsi ya kupambana nao...⁣<br />#kumbukumbu #kumuenzi #martinlutherkingjr #Marekani #Afrika #voa #voaswahili #hakizakiraia

Kumbukumbu ya Martin Luther King Jr. ⁣
Marekani yasherehekea Sikukuu ya Martin Luther King Jr. leo Jumatatu kumuenzi mchango wake katika kupigania haki za watu weusi na haki ya kupiga kura. Hii ni moja ya nukuu muhimu aliyoitoa Dkt. King kuhusu Ukandamizaji na jinsi ya kupambana nao...⁣
#kumbukumbu #kumuenzi #martinlutherkingjr #Marekani #Afrika #voa #voaswahili #hakizakiraia

1/15/2024, 7:01:47 AM