jestpic.com

Discover Best Images of World

#food #travel #sports #news #may #wednesday

Afisa muandamizi wa Umoja wa Mataifa Alhamisi ametoa wito wa “kuchukuliwa kila hatua” kuwalinda raia, kufuatia shambulio ambapo watu 12 waliuawa wakati kituo cha mafunzo cha Umoja wa mataifa kinachohifadhi maelefu ya Wapalestina waliohama makazi yao kiliposhambuliwa kwa mizinga iliyofyetuliwa na kifaru. Thomas White, mkurungenzi wa masuala ya Gaza kwenye shirika la Umoja wa Mataifa UNRWA, amesema hali huko Khan Younis, mji wa kusini mwa Gaza ambako shambulio hilo lilitokea, unadhihirisha kushindwa kabisa kuheshimu kanuni za msingi za sheria ya kimataifa wakati wa vita.⁣
Jeshi la Israel limesema haliamini shambulio hilo la mizinga lilifanywa na wanajeshi lakini limesema tukio hilo linafanyiwa uchunguzi. Limesema pia eneo kubwa la Khan Younis ni ngome muhimu kwa wanamgambo wa Hamas.⁣

#voa #voaswahili #africa #gaza #ukanda #un #hamas #israel

1/25/2024, 6:42:25 PM