barazalamawaziri images

Discover Best barazalamawaziri Images of World

#food #travel #sports #news #may #wednesday

Preparation for interclub championship 🏆🥇" ARE YOU READY" #wkf #bmt #barazalamawaziri #tskf #tanzaniakaratefederation #youssefalbadaw #kassimmajaliwa

5/2/2024, 5:51:09 PM

Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd J Austin amezungumza na Waziri wa Baraza la Mawaziri (CS) wa Ulinzi, Aden Dual kutuma salaam za rambi rambi kwa kifo cha Mkuu wa Majeshi ya Kenya, Jenerali Francis Ogolla na wanajeshi wengine tisa kwa ajili ya helikopta ya jeshi April 18. Bwana Duale alimuelezea Jenerali Ogolla kuwa ni kiongozi anayeheshimiwa sana ambaye alifanya kazi kwa bidi kuhakikisha ushirikiano wa ulinzi wa Marekani na Kenya ni imara. Kwa mujibu wa msemaji wa Pentagon Meja Jenerali Pat Ryder, Dual alielezea shukrani zake kwa simu ya Waziri Austin.⁣⁣ #waziri #ulinzi #LloydAustin #barazalamawaziri #kenya #marekani #francisogolla #jenerali #adendual #nairobi #voa #voaswahili

4/20/2024, 7:46:42 AM

Muswada wa sheria ya watanzania wanaoishi nje ya nchi (diaspora) wa kupewa hadhi maalumu unatarajiwa kuwasilishwa bungeni baada ya umepitishwa katika vikao vya baraza la mawaziri. Je, una maoni gani kuhusu uraia wa nchi mbili au uraia pacha? #AzamUpdates #UraiaPacha #njeyanchi #MswadawaSheria #Watanzanianjeyanchi #Bunge #Barazalamawaziri #SamiaSuluhuHassan Imeandaliwa na Eunice Mokoro na kuhaririwa na @moseskwindi

10/13/2023, 6:46:45 PM

@ikulu_mawasiliano —— MABADILIKO MADOGO BARAZA LA MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU #Savvyfm1053 #Savvyfm #savvyUpdate #Barazalamawaziri #tanzania #ikulu #ikulumawasiliano

8/30/2023, 11:35:35 AM

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi leo Ijumaa tarehe 18 Agosti ameshiriki Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Chamwino Dodoma. 🗓️18 Agosti, 2023 📍Ikulu Chamwino, Dodoma. #barazalamawaziri #ikulumawasiliano #kaziiendelee #samia

8/18/2023, 5:38:50 PM

NYUMBA NZURI INAUZWA Mahali: Mlimwa C, Dodoma Kiwanja 400 square meters Room 3 zote masters Jiko Sebule Dining Store Public toilet Na bathroom Bei 93mil Contact Calls/whatsapp 0675 982 221 . . #MilikiArdhiNasi #MilikiNyumbaNasi #mlimwac #ikuluchamwino #dodomazone #nyumbazanguvu #nyumbakali #bungedodoma #barazalamawaziri #barazalawawakilishi

5/25/2023, 8:28:40 PM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Mei, 2023. Hiki ni kikao cha kwanza cha Baraza la mawaziri kwa mwaka huu 2023 na utakumbuka Rais Samia ana miaka miwili akiwa madarakani. Cc @maushapurasta_255 #votupdates #ikulumawasiliano #barazalamawaziri #tumechangamka

5/3/2023, 3:21:54 PM

#KABWEMATVUPDATES Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri kama ifuatavyo: Amemteua Mhe. Jenista Joakim Mhagama (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu). Mhe. Mhagama anachukua nafasi ya Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb). Kabla ya uteuzi huo alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Amemteua Bw. George Boniface Simbachawene (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mhe. Simbachawene anachukua nafasi ya Mhe. Jenista J. Mhagama (Mb). Kabla ya uteuzi huo Mhe. Simbachawene alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu). Uteuzi huo umeanza tarehe 01 Aprili, 2023. Mawaziri wateule wataapishwa tarehe 02 Aprili, 2023 saa 3 asubuhi, Ikulu, Dar es Salaam. #mawaziri #barazalamawaziri #samia

4/1/2023, 7:25:23 PM

Hongera sana Dkt.Hussein Mohamed Omar kwa kuteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo. @wizara_ya_kilimo @wizaramifugouvuvi @samia_suluhu_hassan @bashehussein @anthonymavunde @kassim_m_majaliwa @abdallahulega @agra_africa #barazalamawaziri #barazalakilimonamifugotanzania #kilimo #agra

2/27/2023, 11:54:19 AM

Hongera sana Bw.Gerald Geofrey kwa kuteuliwa kuwa katibu mkuu wa wizara ya kilimo. @wizara_ya_kilimo @wizaramifugouvuvi @gersonmsigwa @kilimobiasharaprogram @samia_suluhu_hassan @bashehussein @anthonymavunde @abdallahulega @kassim_m_majaliwa @malembofarm @agra_africa @tengeruinstitute @cdctanzania @dfid_uk @unwomen @tanzanialabourguide @dailynews_tz @mwananchi_official @tfnctanzania @shambadunia @ncfarmstz @worldfoodprogramme @barazalakilimotanzania @gaintanzania #kilimobiashara #barazalamawaziri #barazalakilimo #barazalakilimonamifugotanzania #agra #tanzania #vijana #kaziiendelee #katibumkuukiongozi #kilimo #tic #dfid #cdc #tfnc

2/27/2023, 8:35:46 AM

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Said Othman Yakub kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo akichukua nafasi ya Dkt. Hassan Abbas. #UFMUpdates #Uteuzi #BarazaLaMawaziri

2/14/2023, 7:46:54 PM

Rais Samia Suluhu Hassan amemhamisha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbas kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii akichukua nafasi ya Prof. Eliamani Sedoyeka. #UFMUpdates #Uteuzi #BarazaLaMawaziri

2/14/2023, 7:11:37 PM

Rais Samia Suluhu Hassan amemhamisha aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo akichukua nafasi ya Mohamed Mchengerwa. #UFMUpdates #Uteuzi #BarazaLaMawaziri

2/14/2023, 7:03:37 PM

Rais Samia Suluhu Hassan amemhamisha aliyekuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Pindi Chana. #UFMUpdates #Uteuzi #BarazaLaMawaziri

2/14/2023, 6:57:37 PM

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri kwa kumhamisha aliyekuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii. Aidha, aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana amehamishwa kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Wakati huo huo, Dkt. Hassan Abbas aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo amehamishiwa Wizara ya Maliasili na Utalii kuwa Katibu Mkuu akichukua nafasi ya Prof. Eliamani Sedoyeka. Katika hatua nyingine amemteua Said Othman Yakub kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo akichukua nafasi ya Dkt. Abbas. Kabla ya uteuzi huo, Yakub alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Wateule wataapishwa kesho Jumatano Februari 15, 2023 saa 10.00 jioni, Ikulu Dar es Salaam. #UFMUpdates #Uteuzi #BarazaLaMawaziri

2/14/2023, 6:52:05 PM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 08 February 2023. #barazalamawaziri #tanzania #tanzaniasalamanasamia

2/8/2023, 2:41:24 PM

T E U Z I Cc. @uautuniversity @uafsa_official @uaut_christianfellowship @thetheater_tz @dax_graphix #barazalamawaziri #cag #uautso2022_2023

2/1/2023, 8:57:48 AM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Januari 23, 2023. #tanzania #habari #barazalamawaziri #JamhuriUpdates

1/23/2023, 2:53:36 PM

Time it speaks.......... Be quiet, 🤫 not speak too much than focussing in your job. 🙏🙏🙏🎨 . . . . #raiswazanzibar #uchumiwaviwanda #uchumiwakati #zanzibar #ccm #amanikarume #bunge #barazalawawakilishi #barazalasanaatanzania #barazalamawaziri #samia #mwinyi2020

12/27/2022, 3:53:50 PM

BARAZA LA MAWAZIRI LAAGIZA USHIRIKIANO UCHUNGUZI AJALI YA NDEGE: Baraza la Mawaziri limekutana Ikulu Chamwino, Dodoma na kuagiza wataalam wa ndani kushirikiana na wale kutoka nje kuchunguza na kubaini chanzo cha ajali ya ndege ya Shirika la Precision Air iliyotokea Bukoba. Maagizo hayo yametolewa baada ya kikao hicho kupokea taarifa ya awali ya ajali hiyo na hatua zilizochukuliwa wakati huu taarifa ya awali ya uchunguzi ikitarajiwa kutolewa Novemba 19. Katika hatua nyingine ikiwa imepita Juma moja tangu ndege ya Kampuni ya Precision Air kuanguka ziwa Victoria, mita chache kutoka Uwanja wa Ndege wa Bukoba na kusababisha vifo vya watu 19, uongozi wa kampuni hiyo umeeleza mchakato wa kulipa fidia familia zote zilizopoteza wapendwa wao. Akizungumza na waandishi wa habari leo mkoani Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Patrick Mwanri amesema mchakato huo utakuwa kati ya familia hizo na shirika pekee. #barazalamawaziri #ajaliyandege #kulipafidia #wataalam #bukoba #ziwavictoria #shirikalandegeprecision #fidia #mchakato

11/14/2022, 5:25:21 PM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Dharura cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. ___ #twendepamoja #samia #dodoma #barazalamawaziri #kwamatokeoyaharaka

11/14/2022, 2:20:03 PM

Chini ya Serikali ya Rais WilliamRuto, waendesha Mashtaka wameondoa kesi kadhaa dhidi ya baadhi ya washirika wake kwa misingi ya kesi hizo kukosa ushahidi. Kuanzia Novemba 10, 2022, Mahakama ilikubali ombi la Mwendesha Mashtaka la kuondoa kesi ya Ufisadi ya Ksh. Bilioni 7.4 dhidi ya Naibu Rais, Rigathi Gachagua, ikitaja ushahidi usiotosha Mnamo Mwezi Oktoba, DPP aliomba kuondoa Mashtaka ya Ufisadi dhidi ya Aisha Jumwa, ambaye ni Katibu wa Baraza la Mawaziri, yanayohusiana na Ubadhirifu wa Ksh. Milioni 19 Pia aliondoa kesi dhidi ya aliyekuwa Gavana wa Kaunti ya Samburu, Moses Lenolkulal, aliyeorodheshwa kwa nafasi ya Katibu Mkuu. Novemba 9, 2022, Aisha Jumwa alimtaka DPP kufutilia mbali kesi ya Mauaji dhidi yake ambapo Katika kesi hiyo, anashtakiwa pamoja na Msaidizi wake kwa mauaji ya Bwana Ngumbao Jola wakati wa Kampeni za Uchaguzi mdogo wa Wabunge 2019. . . . . . . . . #williamruto #mashtaka #washirika #ushahidi #mahakama #ufisadi #barazalamawaziri #ubadhirifu #kesi #mauaji #kampenizauchaguzi #kenya #wabunge

11/11/2022, 11:26:52 AM

Kauli ya Rais Samia Suluhu Hassani ya kuwataka wateule wake kuheshimu katiba, mipaka ya nafasi zao na kuwa wasiri, imeibua mjadala miongoni mwa wachambuzi wa mambo ya kisiasa na kiutawala. Hayo yanajiri muda mfupi tu baada ya Rais Samia kuwaapisha mawaziri watatu kufuatia mabadiliko madogo aliyoyafanya katika baraza lake la mawaziri kwenye Wizara za Ulinzi, Tamisemi na Mambo ya Nje. #AzamTVUpdates #RaisSamia #BarazaLaMawaziri #Uteuzi

10/3/2022, 7:46:20 PM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri. Katika mabadiliko hayo, Mhe. Rais amemteua Mhe. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mhe. Angellah Jasmine Kairuki kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ambapo Mawaziri wote wameapishwa leo, Ikulu Jijini Dar Es Salaam. ____ #twendepamoja #samia #ikulu #uapisho #mawaziri #barazalamawaziri #kwamatokeoyaharaka

10/3/2022, 10:50:25 AM

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Angellah Kairuki kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kisha kumteua kuwa Waziri wa TAMISEMI akichukua nafasi ya Innocent Bashungwa ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. #UfmRadioUpdates #UFMUpdates #UFMHabari #Uteuzi #BarazaLaMawaziri

10/2/2022, 10:51:22 PM

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, akichukua nafasi ya Dkt. Stergomena Lawrence Tax ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Kabla ya Uteuzi huo, Bashungwa alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI). #UfmRadioUpdates #UFMUpdates #UFMHabari #Uteuzi #BarazaLaMawaziri #Tamisemi #WizaraYaUlinzi

10/2/2022, 10:35:24 PM

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akichukua nafasi ya Balozi Liberata Mulamula. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Tax alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. #UfmRadioUpdates #UFMUpdates #UFMHabari #Uteuzi #BarazaLaMawaziri #MamboYaNje

10/2/2022, 10:25:08 PM

Rais Samia Suluhu Hassan amemtengua Balozi Liberata Mulamula aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na kumteua Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuchukua nafasi hiyo. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Tax alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. #UfmRadioUpdates #UFMUpdates #UFMHabari #Uteuzi #BarazaLaMawaziri #MamboYaNje

10/2/2022, 10:17:41 PM

#Updates Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri #Updates #BarazaLaMawaziri #RaisSamia #SamiaSuluhu #Ikulu #DigitalUpdates #UpendoMedia #AmaniKwaWote

10/2/2022, 9:48:54 PM

Wasanii tukalipeni Kodi kwa maendeleo ya Taifa....... Hakuna janja janja. Huu ni mfumo wa Dunia nzima. Kwasababu #SANAA ni ajira na #SANAA ni kazi. . . . . . #zrb #cosoza #serikali #wasanii #barazalamawaziri #barazalawawakilishi #mamasamiasuluhu #woman #chilegram #blue #blueamber #mtakwimu

9/8/2022, 8:05:53 AM

Kwa mahitaji ya furniture bomba na za kisasa wasiliana nasi #barazalamawaziri #barazalawawakilishi #zanzibarisland #zanzibarbeach #zanzibardoors #zanzibarbeautiful

8/11/2022, 7:23:55 AM

Bado tuna matumaini makubwa Sana kupitia kazi inayofanywa nawatendaji wakuu wa wizara yetu ya HABARI VIJANA UTAMADUNI NA MICHEZO ......... Tukiamini Kuna mahali tunaelekea . ________________________________________ Congratulations the deputy Minister of Our Industry......... Still you do better 😂. . . . . . #wizarayaafya #wizarayaelimutanzania #wizara #rais #uchumiwabuluukwamaendeleoendelevu #serikaliyamapinduzizanzibar #ikuluzanzibar #zanzibarbeach #zanzibardestination #barazalamawaziri #barazalawawakilishi

6/21/2022, 4:12:33 AM

KINANA – RAIS SAMIA KUTATHIMINI HALI YA UCHUMI NA UGUMU WA MAISHA: Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana amesema Mwenyekiti wa chama hicho amepanga kuitisha Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa pamoja na Baraza la mawaziri ili kutathimini hali ya uchumi katika kushughulikia hali ya ugumu wa maisha. #kinana #uchumi #ugumuwamaisha #barazalamawaziri #halmashauriccmtaifa

4/10/2022, 8:23:36 PM

MABADILIKO MADOGO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI: Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikifanya mabadiliko ya uongozi, Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri kwa kuwahamisha wizara mawaziri watatu ambapo George Simbachawene aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria ameteuliwa kuwa waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera na Uratibu. #barazalamawaziri #uongozi #mabadiliko #RaisSamia #uteuzi #Ikulu

3/31/2022, 8:07:56 PM

Shangwe la kumkaribisha Mhe. Waziri @mohamedmchengerwa Sisi wadau tuko pamoja na wewe @officialpaulinegekul @dktabbasi @wizara_sanaatz @bunge.tanzania #senenefestival #barazalamawaziri #barazajipyalamawaziri #bungeni #mawaziriwapya🇹🇿

1/11/2022, 10:47:51 AM

“Nataka niseme jambo moja tu nina kaka zangu, William Lukuvi na Profesa Palamagamba Kabudi mko wapi? Kaka zangu wawili hawa nimewavuta waje kwangu wanisaidie ili waje kunisimamia ninyi, kwa hiyo kuwaacha kwangu kwenye hiyo listi watakuja kwangu tuwasimamie ninyi” amesema Rais Samia. - Rais Samia ameyasema hayo leo Jumatatu Januari 10, 2022 muda mfupi baada ya kuwaapisha mawaziri na naibu mawaziri, makatibu na naibu makatibu wakuu wa wizara mbalimbali Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Video: Ikulu_mawasiliano #tanzania #siasa #raissamiasuluhuhassan #barazalamawaziri

1/10/2022, 12:39:34 PM

MOJA YA UNABII ULIOTOLEWA NA MTUMSHI WA MUNGU SIKU YA MKESHA WA KUINGIA MWAKA MPYA 2022. Ukitaja Mabadiliko katika Serikali yetu ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mabadiliko ambayo yataambatana na Kuvunjwa kwa Baraza la mawaziri, Ambako kutaambatana na maboresho ambayo Mungu mwenyewe ameamua kuyafanya kupitia Raisi wetu, Mtumishi alitaja baadhi ya wizara zitakazo guswa, na ndicho kilichofanyika Siku ya Leo tarehe 8/1/2022. Hakika Sauti ya Mungu ni Halisi, Jina la Bwana Libarikiwe. 2 Peter 1:20-21 Mkijua neno hili kwanza, ya kwamba hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu. Maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu. @prophetclearmalisa #barazalamawaziri #serikali

1/8/2022, 4:39:13 PM

Walioachwa kwenye Mkeka wa Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri na MAMA. - William Lukuvi, - Prof. Palamagamba Kabudi - Prof. Kitila Mkumbo - Geoffrey Mwambe - Mwita Waitara #mabadilikomadogobarazalamawaziri #uteuzi #barazalamawaziri #929AfmRadio #dodoma #tanzania🇹🇿

1/8/2022, 4:22:25 PM

Mnao beza safari ya mama sikilizeni hapa mjifunze kitu... Tanzania sio kisiwa we need to go with the pace ya kidunia... and note Kila awamu ilikuwa na tofali zake za kujenga taifa letu lakini wote lengo ni moja kujenga hili Taifa... tutafutwa machozi ya tozo muda si mrefu 😂 #unicorn #mkutano #samiasuluhu #bavicha #uvccm #uchumi #politics #barazalamawaziri #wazalendo #ministry #makamba #samia #samiasuluhu #tanzania #tanzania🇹🇿 #ngorongoro #tourism #investors #kilimanjaro #africa #politics #economic #zanzibar #thevoiceoftanzania #serengeti #yangatv #yangaday #simbasc #simba #azamtv #azamsports2

9/26/2021, 6:50:45 AM

At @ngowi_designer we create kitchendesigns that are practical yet elegant. Our modular kitchen design combined with utility is in accordance to the client taste and choice.. Make the busiest room in the house work better for you with beatiful and unique designs by @ngowi_designer #interiordesigner #kitchen #kitchenideas #jikoni #nyeupe #kisasa #barazalamawaziri #nyeusi #marumaru #anasa #kuzama #nyumbani #tanzania

9/23/2021, 2:39:34 PM

Haya sasa wale sijui ni Su**** GANG sijui nini haya sasa ujumbe huo, mmemchokoza wenyewe Mama wawatu mpole mcha Mungu sasa mmeyataka wenyewe... Majitu ya mifumo dume mfunge midomo sasa, tusimjudge mtu kwa maumbile hata siku moja SHE IS STRONG 💪🏾 NA ANATOSHA KEEP GOING MAMA @samia_suluhu_hassan #bavicha #uvccm #uchumi #politics #barazalamawaziri #wazalendo #ministry #makamba #samia #samiasuluhu #tanzania #tanzania🇹🇿 #ngorongoro #tourism #investors #kilimanjaro #africa #politics #economic #zanzibar #thevoiceoftanzania #serengeti #yangatv #yangaday #simbasc #simba #azamtv #azamsports2

9/16/2021, 6:51:44 AM

NI BASI TU I DON'T HAVE THAT BIG PLATFORM BUT KIGOGO @kigogo2014official IS VERY RIGHT, Nimekuwa nikiwaza sana kwa muda mrefu na kuwa muumini wa upinzani but am fading up, kuna siku niliingia kwenye ROOM CLUBHOUSE ya UVCCM Mara! @uvccmmara yani wanaongea mambo ya kuwezeshana kiuchumi kitu ambacho ndio cha msingi kwa maendeleo ya vijana, ukiingia kwenye rooms za Chadema its always malalamishi tuu kuhisi kuonewa na kujadili watu 😭😭😭 it is really putting me down... sasa Kigogo akiwaambia vidonge vyenu mtulie na mfanyie kazi kuliko kupambana naye... kuna mambo kibao tunashida nayo kwanini msichague moja mkatusaidia directly then tuone umuhimu wa Katiba through those initiatives? Tuache propaganda tusaidie taifa letu kusonga mbele... @uvccm_tz @bavicha_taifa @mangekimambi_ #bavicha #uvccm #uchumi #politics #barazalamawaziri #wazalendo #ministry #makamba #samia #samiasuluhu #tanzania #tanzania🇹🇿 #ngorongoro #tourism #investors #kilimanjaro #africa #politics #economic #zanzibar #thevoiceoftanzania #serengeti #yangatv #yangaday #simbasc #simba #azamtv #azamsports2

9/15/2021, 5:48:46 PM

"HAMTANISIKIA NIKIPIGA KELELE" Rais Samia Suluhu Hassan amesema utendaji kazi wake utaakisiwa na maamuazi atakayokuwa akiyatoa kwa njia ya kalamu badala ya kusikika jukwaani akiwakaripia watendaji wake"watu wazima wanaojua zuri na baya". #AzamTVUpdates #RaisSamiaSuluhu #UapishoMawaziri #BarazaLaMawaziri #IkuluChamwino #IkuluDodoma

9/13/2021, 12:37:26 PM

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWEKA WAZI ALICHOKUWA AKIKIFANYA KWA MIEZI SITA YA URAIS WAKE #AzamTVUpdates #RaisSamiaSuluhu #UapishoMawaziri #BarazaLaMawaziri #IkuluChamwino #IkuluDodoma

9/13/2021, 12:28:33 PM

KIAPO Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwaapisha mawaziri wanne aliowateua sambamba na kumuapisha mwanasheria mkuu mpya wa serikali. Tukio hili linatarajiwa kuanza saa 5:00 asubuhi kutoka Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Tutakuwa MUBASHARA kupitia #UTV na akaunti yetu ya Youtube. #AzamTVUpdates #Uapisho #IkuluChamwino #RaisSamiaSuluhu #BarazalaMawaziri #CabinetReshuffle

9/13/2021, 9:44:35 AM

Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa JKT. Nafasi iliyokuwa wazi baada ya kifo cha aliyekuwa waziri marehemu Elias Kwandika. • Dk Stergomena amekuwa akihudumu kama katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini ya Afrika (SADC), nafasi aliyoishikilia tangu mwaka 2013 hadi mwezi uliopita. • Mama huyu wa watoto wawili na mwanadiplomasia aliyebobea anaweka historia ya kuwa mwanamke wa kwanza kushikilia wadhfa huo Tanzania. • Rais Samia pia amemteua January Makamba kuwa Waziri wa Nishati. • Wengine walioteuliwa ni pamoja na Prof. Makame Mbarawa kuwa Waziri wa ujenzi na uchukuzi, • Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. • Dk Eliezer Feleshi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. • • • #moshicityupdates #moshicityhabari #moshicity #moshitown #moshi #mtkilimanjaro #kilimanjaro #tanzania #arusha #fashion #samiasuluhu #raissamia #tanzania #siasa #wanawake #barazalamawaziri

9/13/2021, 6:32:26 AM

Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa JKT. Nafasi iliyokuwa wazi baada ya kifo cha aliyekuwa waziri marehemu Elias Kwandika. • Dk Stergomena amekuwa akihudumu kama katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini ya Afrika (SADC), nafasi aliyoishikilia tangu mwaka 2013 hadi mwezi uliopita. • Mama huyu wa watoto wawili na mwanadiplomasia aliyebobea anaweka historia ya kuwa mwanamke wa kwanza kushikilia wadhfa huo Tanzania. • Rais Samia pia amemteua January Makamba kuwa Waziri wa Nishati. • Wengine walioteuliwa ni pamoja na Prof. Makame Mbarawa kuwa Waziri wa ujenzi na uchukuzi, • Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. • Dk Eliezer Feleshi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. • • • #samiasuluhu #raissamia #tanzania #siasa #wanawake #barazalamawaziri 📸:Kwa Hisani/Twitter

9/13/2021, 6:13:20 AM

Hapa Mama umeupiga mwingi sana 👏🏾👏🏾👏🏾 tulichoshwa na vilio vya bundles na tozo na hakuna kilichokuwa kikifanyika... pole pole tutaelewana, natamani ifike mahala wabaki mawaziri ulioteua wewe mwenyewe wakusaidie kubaba agenda zako kwa maslahi ya Taifa letu... mimi na familia yangu tunaendelea kukuombea heri inshaalah tutafika tunapotaka kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu... #barazalamawaziri #wazalendo #ministry #makamba #samia #samiasuluhu #tanzania #tanzania🇹🇿 #ngorongoro #tourism #investors #kilimanjaro #africa #politics #economic #zanzibar #thevoiceoftanzania #serengeti #yangatv #yangaday #simbasc #simba #mpira #football #footballer #azamtv #azamsports2

9/12/2021, 9:20:52 PM

At @ngowi_designer we create kitchendesigns that are practical yet elegant. Our modular kitchen design combined with utility is in accordance to the client taste and choice.. Make the busiest room in the house work better for you with beatiful and unique designs by @ngowi_designer #interiordesigner #kitchen #kitchenideas #jikoni #nyeupe #kisasa #barazalamawaziri #nyeusi #marumaru #anasa #kuzama #nyumbani #tanzania

9/7/2021, 7:30:29 PM

9/6/2021, 9:38:24 AM

At @ngowi_designer we create kitchendesigns that are practical yet elegant. Our modular kitchen design combined with utility is in accordance to the client taste and choice.. Make the busiest room in the house work better for you with beatiful and unique designs by @ngowi_designer Call/WhatsApp 0656296029 #interiordesigner #kitchen #kitchenideas #jikoni #nyeupe #kisasa #barazalamawaziri #nyeusi #marumaru #anasa #kuzama #nyumbani #tanzania

8/28/2021, 4:58:25 AM

8/26/2021, 11:52:25 AM

8/12/2021, 4:29:40 PM

8/2/2021, 2:53:24 PM

7/14/2021, 1:50:50 PM

7/7/2021, 8:14:17 AM

6/25/2021, 1:35:03 PM

DAR ES SALAAM,LINDI,MTWARA,PWANI na TANGA, kaa tayari kwa tamasha kubwa la urembo wa kitalii na kitamaduni kanda ya mashariki😁😁Tukutane The black point kijiji cha makumbusho/ makumbusho museums village Aiseeee kaakijanjaaa @misstourismtanzaniaofficial #barazalamawaziri

6/23/2021, 11:43:06 PM

At @ngowi_designer we create kitchendesigns that are practical yet elegant. Our modular kitchen design combined with utility is in accordance to the client taste and choice.. Make the busiest room in the house work better for you with beatiful and unique designs by @ngowi_designer Call/WhatsApp 0656296029 #interiordesigner #kitchen #kitchenideas #jikoni #nyeupe #kisasa #barazalamawaziri #nyeusi #marumaru #anasa #kuzama #nyumbani #tanzania

6/21/2021, 9:17:23 AM

6/3/2021, 9:00:20 AM

#Habarika 📸 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. @samia_suluhu_hassan leo ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Mei 06,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma. #samia #SamiaSuluhu #SamiaSuluhuHassan #barazalamawaziri #chamwinoleo #Dodoma #Tanzania

5/6/2021, 12:40:18 PM