dwswahili images

Discover Best dwswahili Images of World

#food #travel #sports #news #april #saturday

🚨MASHARIKI YA KATI______ . Viongozi duniani wameendelea kutoa mwito wa kusitishwa uhasama kati ya Israel na Iran saa chache baada ya Masharika ya Habari duniani kuripoti kuwa Israel ilifanya shambulio ndani ya Iran. Iran imesema imedungua droni tatu pekee na hakuna madhara yoyote mengine. . Karibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amezirai pande zote kujizuia na “mwenendo wa kulipa kisasi”. Mwito kama huo umetolewa pia na Kansela Olaf Scholz wa Ujerumani na Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak. . - Creator By ✍️ @muuh_maquotes Credit by #dwkiswahili ____________________________________ #dwswahili #siasa #bbcswahili #israel #iran #habari #explore #explorepage #reelsindia #entertainment #burudani #udaku #exclusive #news #trending #gossip #udakutz #explore #trending #kenya #nairobi #viral #serikali #reel #reelsinsta

4/19/2024, 5:13:00 PM

Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amekutana hii leo na Rais Xi Jinping mjini Beijing katika siku yake ya mwisho ya ziara ya siku tatu na kujadili masuala mbalimbali ikiwemo ushirikiano wa kiuchumi, kijiografia na kisiasa huku pia wakigusia vita vya Ukraine, ulinzi wa hali ya hewa na mahusiano ya kibiashara baina ya nchi hizo. - Kansela Scholz amesema ataendelea kumsisitiza Rais Xi ambaye ana uhusiano wa karibu na Rais wa Urusi,Vladmir Putin juu ya athari ya vita vya Urusi dhidi ya Ukraine kuwa vita hivyo sio tu vimeliathiri bara la Ulaya bali hata ulimwengu mzima. Mataifa ya Magharibi yamekuwa yakiishutumu China kwamba inaipatia Urusi bidhaa ambazo zinatumika kwa madhumuni ya kiraia na kijeshi na hivyo kuipa Urusi nguvu ya kiuchumi ya kuendeleza uvamizi wake nchini Ukraine. . - Creator By ✍️ @muuh_maquotes ____________________________________ #explore #explorepage #viral #news #tanzania #serikali #ikulumawasili #dwswahili #bbcswahili

4/16/2024, 2:43:12 PM

Hivi karibuni zuchu anaolewa hii ni baada ya habari kuvuja kuhusu kutoleaa mahari na kununuliwa nyumba Zanzibar na diamond Connection ya aslay dm WhatsApp 0762849348 Follow- @calsontz @bongotrending_udaku #ManaraTvUpdate #diamond #zuchu #nandy #wasafimedia #wasafi #millardayoupdates #manaratvupdate #harmonize #bbcswahili #dwswahili #cloudsupdates #eastafricatv #officialalikiba #diamondplatnumz #mangekimambi #bktrending #ManaraTvEntertainment #simbasctanzania #yangasc

4/8/2024, 9:37:42 PM

#KAMATATVUPDATE TUMEPATA KIBONDE CHETU TUMEJIPIGIA TUU FIFA Series 2024 FT’ @TaifaStars_ 🇹🇿 3️⃣-0️⃣ 🇲🇳 Mongolia ⚽️Kelvin John ⚽️Abdul Sopu ⚽️Novatus Dismas @fifamedia @CAF_Online #SemakinDiDepan #africa #simba #AzamSports1HD #SisiNiSoka #yanga #HabarileoUPDATES #news #Update #world #NBC #SPORTS #BURUDANI #fun #funnymeme #trendingreels #comedy #clamvevo #TaifaStars #clam #tiktok #dwswahili #dwkiswahili #bbcnews #Youtube #instagramreels

3/25/2024, 9:43:49 PM

#KAMATATVUPDATE TUMEPATA KIBONDE CHETU TUMEJIPIGIA TUU FIFA Series 2024 FT’ @TaifaStars_ 🇹🇿 3️⃣-0️⃣ 🇲🇳 Mongolia ⚽️Kelvin John ⚽️Abdul Sopu ⚽️Novatus Dismas @fifamedia @CAF_Online #SemakinDiDepan #africa #simba #AzamSports1HD #SisiNiSoka #yanga #HabarileoUPDATES #news #Update #world #NBC #SPORTS #BURUDANI #fun #funnymeme #trendingreels #comedy #clamvevo #TaifaStars #clam #tiktok #dwswahili #dwkiswahili #bbcnews #Youtube #instagramreels

3/25/2024, 9:40:11 PM

@bongoplandotcom 𝗧𝗢𝗨𝗥𝗦 - 𝗘𝗩𝗘𝗡𝗧𝗦 - 𝗧𝗥𝗔𝗩𝗘𝗟 🏖️🌊⛱️👙🩴🚣🚤⛵👩‍❤️‍👨✈️🧳 (Social Media Poster) __________ We offer the following services:- ✔️Logos ✔️Bronchures and Flyers (Vipeperushi) ✔️Business Cards ✔️Company Profile & Magazine ✔️Product Labels ✔️ID Cards ✔️Roll Up Banner ✔️Sticker and Banner ✔️Tickets ✔️Menus ✔️Social Media Poster ✔️Custom QR CODES for your business ✔️Managing Social Media Accounts ✔️Professional Reels + Youtube Video shooting ✔️Adverts Recording and Editing ✔️Pro Photography for Events and Photoshoots ✔️Google Map Location for your Business __________ CONTACT US via:- 📞Call / WhatsApp: +255 763 544 735 Instagram: @nitovlado Email : [email protected] Direct Message (DM) and place your order now __________ . follow 👉@nitovlado 👈 . __________ . . #travelgram #honeymoon #enjoy #couple #hotel #beachdestinations #travelworld #bestnbeach #zanzibar #hakunamatata #london #paris #america #Tours #tzswag #mangekimambi #millardayoupdates #mwananchi #bbcswahili #dwswahili #bestdeals #love #summer #tanzania #trip #fly #zanzibardestination #poster #flighticket

3/23/2024, 6:59:28 AM

@bongoplandotcom 𝗧𝗢𝗨𝗥𝗦 - 𝗘𝗩𝗘𝗡𝗧𝗦 - 𝗧𝗥𝗔𝗩𝗘𝗟 🏖️🌊⛱️👙🩴🚣🚤⛵👩‍❤️‍👨✈️🧳 (Social Media Poster) __________ We offer the following services:- ✔️Logos ✔️Bronchures and Flyers (Vipeperushi) ✔️Business Cards ✔️Company Profile & Magazine ✔️Product Labels ✔️ID Cards ✔️Roll Up Banner ✔️Sticker and Banner ✔️Tickets ✔️Menus ✔️Social Media Poster ✔️Custom QR CODES for your business ✔️Managing Social Media Accounts ✔️Professional Reels + Youtube Video shooting ✔️Adverts Recording and Editing ✔️Pro Photography for Events and Photoshoots ✔️Google Map Location for your Business __________ CONTACT US via:- 📞Call / WhatsApp: +255 763 544 735 Instagram: @nitovlado Email : [email protected] Direct Message (DM) and place your order now __________ . follow 👉@nitovlado 👈 . __________ . . #travelgram #honeymoon #enjoy #couple #hotel #wildebeestmigration #travelworld #serengeti #zanzibar #hakunamatata #london #paris #america #Tours #tzswag #mangekimambi #millardayoupdates #mwananchi #bbcswahili #dwswahili #bestdeals #love #summer #tanzania #trip #fly #zanzibardestination #poster #flighticket

3/23/2024, 6:57:33 AM

@bongoplandotcom 𝗧𝗢𝗨𝗥𝗦 - 𝗘𝗩𝗘𝗡𝗧𝗦 - 𝗧𝗥𝗔𝗩𝗘𝗟 🏖️🌊⛱️👙🩴🚣🚤⛵👩‍❤️‍👨✈️🧳 (Social Media Poster) __________ We offer the following services:- ✔️Logos ✔️Bronchures and Flyers (Vipeperushi) ✔️Business Cards ✔️Company Profile & Magazine ✔️Product Labels ✔️ID Cards ✔️Roll Up Banner ✔️Sticker and Banner ✔️Tickets ✔️Menus ✔️Social Media Poster ✔️Custom QR CODES for your business ✔️Managing Social Media Accounts ✔️Professional Reels + Youtube Video shooting ✔️Adverts Recording and Editing ✔️Pro Photography for Events and Photoshoots ✔️Google Map Location for your Business __________ CONTACT US via:- 📞Call / WhatsApp: +255 763 544 735 Instagram: @nitovlado Email : [email protected] Direct Message (DM) and place your order now __________ . follow 👉@nitovlado 👈 . __________ . . #travelgram #honeymoon #enjoy #couple #hotel #wildebeestmigration #travelworld #serengeti #zanzibar #hakunamatata #london #paris #america #Tours #tzswag #mangekimambi #millardayoupdates #mwananchi #bbcswahili #dwswahili #bestdeals #love #summer #tanzania #trip #fly #zanzibardestination #poster #flighticket

3/23/2024, 6:56:17 AM

Dada aliyekuwa anahusika hisia na watu kuwa mhusika kwenye Connection ya aslay sio huyo ni dada tofauti kabisa swipe ujionee Follow @calsontz @bongotrending_udaku #calsontzupdates #ManaraTvUpdate #diamond #zuchu #nandy #wasafimedia #wasafi #millardayoupdates #manaratvupdate #harmonize #bbcswahili #dwswahili #cloudsupdates #eastafricatv #officialalikiba #diamondplatnumz #mangekimambi #bktrending #ManaraTvEntertainment #simbasctanzania #yangasc

3/18/2024, 5:44:52 PM

Hii ni baada ya wasanii hao wawili @diamondplatnumz na @harmonize_tz kukutana msikitini kuswali Follow @calsontz & @bongotrending_udaku #calsontzupdates #ManaraTvUpdate #diamond #zuchu #nandy #wasafimedia #wasafi #millardayoupdates #manaratvupdate #harmonize #bbcswahili #dwswahili #cloudsupdates #eastafricatv #officialalikiba #diamondplatnumz #mangekimambi #bktrending #ManaraTvEntertainment #simbasctanzania #yangasc

3/12/2024, 6:40:13 PM

Kwa muda mrefu ilikuwa inafahamika kwamba Mwanamuziki @abigail_chams hajui kupiga ugali ila leo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza kuwa ameshajifunza kupiga ugali na ame-post video ikionesha maandalizi yote ya mapishi ya ugali. "Nimeshaajifunza kusonga ugali, sasa penzi letu linaweza kuwa la Milele ? 😌🥰😂"---@abigail_chams Vipi unatamani kuonja ugali wa Abby? Follow @calsontz & @bongotrending_udaku #calsontzupdates #ManaraTvUpdate #diamond #zuchu #nandy #wasafimedia #wasafi #millardayoupdates #manaratvupdate #harmonize #bbcswahili #dwswahili #cloudsupdates #eastafricatv #officialalikiba #diamondplatnumz #mangekimambi #bktrending #ManaraTvEntertainment #simbasctanzania #yangasc

3/6/2024, 7:35:30 PM

Muigizaji na Msanii wa Muziki @iamrosendauka amesema yeye hawezi kufanya muziki wa kubana pua kama wanaofanya @officialnandy na @officialzuchu sababu ya sauti yake ya Hip Hop Hip Follow @calsontz #calsontzupdates #ManaraTvUpdate #diamond #zuchu #nandy #wasafimedia #wasafi #millardayoupdates #manaratvupdate #harmonize #bbcswahili #dwswahili #cloudsupdates #eastafricatv #officialalikiba #diamondplatnumz #mangekimambi #bktrending #ManaraTvEntertainment #simbasctanzania #yangasc

2/29/2024, 4:40:29 PM

Hii ni baada ya mume wa zari kufanya interview na mangekimambi app .Na zari kudai mange amewekeza kwenye maisha ya zari hivyo kutumia mda mwingi na fedha kumfatilia Follow @calsontz #calsontzupdates #ManaraTvUpdate #diamond #zuchu #nandy #wasafimedia #wasafi #millardayoupdates #manaratvupdate #harmonize #bbcswahili #dwswahili #cloudsupdates #eastafricatv #officialalikiba #diamondplatnumz #mangekimambi #bktrending #ManaraTvEntertainment #simbasctanzania #yangasc

2/28/2024, 5:52:34 PM

Hii ni baada ya mayele kuandika barua kwa klabu ya pyramids kiomba kuvunja mkataba na hii ni baada ya viongozi wa simba kukaa kikao cha pamoja na nyota huyo wazamani wa yanga siku chache zilizopita Follow @calsontz #calsontzupdates de #ManaraTvUpdate #diamond #zuchu #nandy #wasafimedia #wasafi #millardayoupdates #manaratvupdate #harmonize #bbcswahili #dwswahili #cloudsupdates #eastafricatv #officialalikiba #diamondplatnumz #mangekimambi #bktrending #ManaraTvEntertainment #simbasctanzania #yangasc

2/28/2024, 4:56:47 PM

Mchambuzi wa soka @ricardomomo ameshangaa baadhi ya watu kumfananisha kiungo wa Yanga SC, @pacom_zouzoua na kiungo wa Simba SC, @realclatouschama Chama na kusema Pacome ana mengi ya kufanya ndiyo aweze kufananishwa na kiungo huyo Mzambia. “ Pacome sio mchezaji mbaya, lakini anapaswa kukaa muda mrefu kidogo ndiyo tuanze kumlinganisha na Chama. Huyu Chama katuonesha haya tunayoyaona kwa Pacome sio kwa miezi 6, afanye kwa miaka minne. Pacome atuoneshe na wote tutakuja kusema nani zaidi. Lakini kwa sasa kumlinganisha Chama na Pacome ni kumdhalilisha Chama “ --- @ricardomomo #calsontzupdates #ManaraTvUpdate #ManaraTvUpdate #diamond #zuchu #nandy #wasafimedia #wasafi #millardayoupdates #manaratvupdate #harmonize #bbcswahili #dwswahili #cloudsupdates #eastafricatv #officialalikiba #diamondplatnumz #mangekimambi #bktrending #ManaraTvEntertainment #simbasctanzania #yangasc #ManaraTvSports

2/28/2024, 4:30:09 PM

@shakib_cham amefunguka baada ya kufanya interview na mangekimambi baada ya video ya zari na diamond ku trend mitandaoni Follow @calsontz #ManaraTvUpdate #diamond #zuchu #nandy #wasafimedia #wasafi #millardayoupdates #manaratvupdate #harmonize #bbcswahili #dwswahili #cloudsupdates #eastafricatv #officialalikiba #diamondplatnumz #mangekimambi #bktrending #ManaraTvEntertainment #simbasctanzania #yangasc #bktrending

2/27/2024, 7:05:54 PM

" Ni kweli niliumia siku moja kabla ya mchezo dhidi ya CR Belouizdad ulikua wakati mgumu sana kwangu nakumbuka wachezaji wenzangu wote walikua tayari kwa mchezo. Ilivyofika asubuhi niliufuata uongozi wa Yanga pamoja na kocha nikamwambia sidhani kama ni sahihi kwangu kukaa kwa kubweteka nimeona ni kwa namna gani mashabiki wamejiandaa kwaajili ya hii siku yangu iweje leo hii na mimi nishindwe kufanya jambo kwaajili yao? Namshkuru Mungu alikua upande wangu na Yanga kwa ujumla tukafanikiwa kuifunga Cr Belouzidad goli 4 ambazo zilituvusha moja kwa moja Pengine najivunia kuingia katika historia hii kubwa ya klabu kubwa kama @yangasc kuwa miongoni mwa wachezaji walioisaidia timu yao kutinga hatua ya makundi baada ya miaka 25 pamoja na kutinga hatua ya robo fainali kwa mara ya Kwanza. Tunaelekea misri tukiwa tunauhitaji sana mchezo pamoja na nafasi ya kwanza wananchi waongeze Dua kwasababu ni watu wenye upendo sana na wachezaji wao naimani itatusaidia sana " @pacom_zouzoua Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC Follow @calsontz for more #ManaraTvUpdate #diamond #zuchu #nandy #wasafimedia #wasafi #millardayoupdates #manaratvupdate #harmonize #bbcswahili #dwswahili #cloudsupdates #eastafricatv #officialalikiba #diamondplatnumz #mangekimambi #bktrending #ManaraTvEntertainment #simbasctanzania #yangasc

2/27/2024, 6:33:15 PM

Ifuatayo ni orodha ya viongozi wanaokubalika zaidi ulimwenguni. 🇷🇺 Vladimir Putin: 79% 🇮🇳 Narendra Modi: 78% 🇲🇽 Andrés López: 65% 🇦🇷 Javier Milei: 63% 🇺🇦 Volodymyr Zelenskyy: 60% 🇵🇱 Donald Tusk: 52% 🇨🇭 Viola Amherd: 51% 🇧🇷 Lula da Silva: 46% 🇦🇺 Anthony Albanese: 46% 🇮🇹 Giorgia Meloni: 41% 🇪🇸 Pedro Sánchez: 38% 🇧🇪 Alexander De Croo: 38% 🇺🇸 Joe Biden: 37% 🇮🇪 Leo Varadkar: 37% 🇸🇪 Ulf Kristersson: 36% 🇹🇷 Recep Tayyip Erdogan: 36% 🇳🇱 Mark Rutte: 33% 🇿🇦 Cyril Ramaphosa: 29% 🇨🇦 Justin Trudeau: 29% 🇦🇹 Karl Nehammer: 27% 🇳🇴 Jonas Gahr Støre: 27% 🇬🇧 Rishi Sunak: 25% 🇫🇷 Emmanuel Macron: 23% 🇰🇷 Yoon Suk Yeol: 23% 🇩🇪 Olaf Scholz: 21% 🇨🇿 Petr Fiala: 19% 🇯🇵 Fumio Kishida: 18% Source: Morning Consult Political Intelligence, WCIOM, KIIS. Follow @calsontz @youngsuley_ #ManaraTvUpdate #diamond #zuchu #nandy #wasafimedia #wasafi #millardayoupdates #manaratvupdate #harmonize #bbcswahili #dwswahili #cloudsupdates #eastafricatv #officialalikiba #diamondplatnumz #mangekimambi #bktrending #ManaraTvEntertainment #simbasctanzania #yangasc

2/27/2024, 4:24:43 PM

✅JE UNAHITAJI TIBA YA WADUDU WADHURIFU NA WASUMBUFU KATIKA ENEO LAKO? ✅Usijali master fumigation service tupo kwa ajiri yako kukupatia kile unachokitaka ✅Tunadeal na wadudu wote ikiwemo ➡️mende ➡️mmbu ➡️kunguni ➡️panya ➡️mijusi ➡️mchwa ➡️nzi ➡️nyuki ➡️Tandu ➡️nn’ge ➡️na wengine wote waharibifu na wadhurifu ✅Huduma zetu tunazitoa katika maeneo yafuatayo ➡️Majumbani, ➡️Mabweni, ➡️Maofisini, ➡️Store, ➡️Bakery, ➡️Migahawa, ➡️Lodge, ➡️Social halls, ➡️Godown , ➡️Taasisi, ➡️ Bustani. ✅kwa maeneo ya biashara tunatoa fumigation certificate bure kabisa ✅Huduma zetu ni bora na uhakika kwani kampuni yetu imesajiliwa na inatambulika kisheria ✅Tunawataalamu waliobobea na waliothibitishwa hivyo kukuhakikishia usalama wa afya yako na mali zako ✅Tunavifaa vya kisasa kabisa na vilivyothibishwa kwa shughuli za fumigation ✅Usiteseka tupigie sasa tukuhudumie popote ulipo tutafika ✅Location :Tunapatikana kimara korogwe dar- es- salaam. 📞Contact:0755986460 /0629775590 call,txt or whatapp 24hrs #mazingirasalamakwaafyabora #daressalam #fumigationservicedsm #fumigationservice #pestcontrol #insects #termites #bugs #dwswahili #metl #mlimanicity #bbcswahili r #exterminator #termites #pestcontrolservice #fumigation #pest #bedbugs #bbcswahili #raoches #cockroaches

2/27/2024, 11:37:33 AM

Swipe ujionee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💯💯💚💚💚💚💚❤❤❤💛💛💛 Wana yanga wekeni maoni na makopa hapa Follow @calsontz #diamond #zuchu #nandy #wasafimedia #wasafi #millardayoupdates #manaratvupdate #harmonize #bbcswahili #dwswahili #cloudsupdates #eastafricatv #officialalikiba #diamondplatnumz #mangekimambi #bktrending #simbasc #simbasctanzania #simba #simbanguvumoja #yangatv #yangasc #yanga

2/26/2024, 9:21:54 PM

Takriban waumini 15 wa Kikatoliki wameuawa katika kijiji cha Essakane nchini Burkina Faso baada ya kushambuliwa shambulio la kigaidi katika Kanisa Katoliki wakati wa ibada mnamo Februari 25, 2024 katika Kijiji cha Essakane. kulingana na taarifa iliyotolewa na Abate Jean-Pierre Sawadogo, kasisi- Jenerali wa Jimbo Katoliki la Dori, ambapo shambulio hilo lilitokea amesema shambulio hilo lilisababisha vifo vya watu 12 katika eneo la tukio, wakati wengine watatu walifariki baadaye walipokuwa wakitibiwa majeraha yao. Huu ni ukatili wa hivi punde nchini humo kuhusishwa na wapiganaji wa Kiislamu. Aidha zaidi ya theluthi moja ya Burkina Faso kwa sasa iko chini ya udhibiti wa waasi. . . . . . . . . . #genocide #burkinafaso #ecowas #mali #politics #churchattack #yuboxtv #africa #cnn #aljazeera #dwswahili

2/26/2024, 12:52:54 PM

Swipe left ujioneee nachekesha lakini 😀😀🤣🤣🤣 ila kweli ulitegemea afanye hivyo wap Follow @calsontz @zumaudako @bongotrending_habari #diamond #zuchu #nandy #wasafimedia #wasafi #millardayoupdates #manaratvupdate #harmonize #bbcswahili #dwswahili #cloudsupdates #eastafricatv #officialalikiba #diamondplatnumz #mangekimambi #bktrending

2/25/2024, 4:59:56 PM

JEZI NDO ZIMEWAPONZA LAKINI BORA WAO WAMEFUNGWA NNE 😂😂😂💚💚💚💛 Follow @calsontz #diamond #zuchu #nandy #wasafimedia #wasafi #millardayoupdates #manaratvupdate #harmonize #bbcswahili #dwswahili #cloudsupdates #eastafricatv #officialalikiba #diamondplatnumz #mangekimambi #bktrending

2/24/2024, 7:08:55 PM

Tatuuuuuuuuu tayari bado mbili tuu💚💚💚💚💚💚💚💛💛💚💚💚💥💚 Follow @calsontz #diamond #zuchu #nandy #wasafimedia #wasafi #millardayoupdates #manaratvupdate #harmonize #bbcswahili #dwswahili #cloudsupdates #eastafricatv #officialalikiba #diamondplatnumz #mangekimambi #bktrending

2/24/2024, 6:20:41 PM

Zuchu na diamond waachana rasmi hii ni baada ya zuchu kusema kwenye caption yake leo insta na kusabishwa na diamond kuwa na mahusiano na kupiga picha na Ex wake zari kwa mda sasa follow @calsontz #diamond #zuchu #nandy #wasafimedia #wasafi #millardayoupdates #manaratvupdate #harmonize #bbcswahili #dwswahili #cloudsupdates #eastafricatv #officialalikiba #diamondplatnumz #mangekimambi #bktrending

2/23/2024, 4:03:29 PM

@bongoplandotcom 𝗧𝗢𝗨𝗥𝗦 - 𝗘𝗩𝗘𝗡𝗧𝗦 - 𝗧𝗥𝗔𝗩𝗘𝗟 (Social Media Poster) __________ We offer the following services:- ✔️Logos ✔️Bronchures and Flyers (Vipeperushi) ✔️Business Cards ✔️Company Profile & Magazine ✔️Product Labels ✔️ID Cards ✔️Roll Up Banner ✔️Sticker and Banner ✔️Tickets ✔️Menus ✔️Social Media Poster ✔️Custom QR CODES for your business ✔️Managing Social Media Accounts ✔️Professional Reels + Youtube Video shooting ✔️Adverts Recording and Editing ✔️Pro Photography for Events and Photoshoots ✔️Google Map Location for your Business __________ CONTACT US via:- 📞Call / WhatsApp: +255 763 544 735 Instagram: @nitovlado Email : [email protected] Direct Message (DM) and place your order now __________ . follow 👉@nitovlado 👈 . __________ . . #travelgram #flight #enjoy #flightticket #saadaninationalpark #airticketing #travelworld #mikumi #zanzibar #hakunamatata #students #schools #flyemirates #Tours #tzswag #mangekimambi #millardayoupdates #weddingdestination #bbcswahili #dwswahili #bestdeals #refreshment #summer #tanzania #trip #fly #zanzibardestination #weddingplanner #historicalsites #nationalparks

2/18/2024, 8:15:09 PM

@bongoplandotcom 𝗧𝗢𝗨𝗥𝗦 - 𝗘𝗩𝗘𝗡𝗧𝗦 - 𝗧𝗥𝗔𝗩𝗘𝗟🚘🚗🚍🚌 (Social Media Poster) __________ We offer the following services:- ✔️Logos ✔️Bronchures and Flyers (Vipeperushi) ✔️Business Cards ✔️Company Profile & Magazine ✔️Product Labels ✔️ID Cards ✔️Roll Up Banner ✔️Sticker and Banner ✔️Tickets ✔️Menus ✔️Social Media Poster ✔️Custom QR CODES for your business ✔️Managing Social Media Accounts ✔️Professional Reels + Youtube Video shooting ✔️Adverts Recording and Editing ✔️Pro Photography for Events and Photoshoots ✔️Google Map Location for your Business __________ CONTACT US via:- 📞Call / WhatsApp: +255 763 544 735 Instagram: @nitovlado Email : [email protected] Direct Message (DM) and place your order now __________ . follow 👉@nitovlado 👈 . __________ . . #travelgram #carrental #enjoy #wedding #saadaninationalpark #tanzania🇹🇿 #travelworld #mikumi #zanzibar #hakunamatata #students #schools #tanzaniaweddings #Tours #tzswag #mangekimambi #millardayoupdates #studying #bbcswahili #dwswahili #bestdeals #refreshment #summer #carrental #trip #rent #zanzibardestination #hire #kodisha #nationalparks

2/18/2024, 8:11:18 PM

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO Jens Stoltenberg, amesema kwamba kuchelewesha kupitisha msaada mpya wa Marekani kwa Ukraine, kunavinyong'onyeza vikosi vya Ukraine kwenye uwanja wa vita dhidi ya Urusi. Stoltenberg ameyasema hayo wakati mawaziri wa ulinzi kutoka pande zote za muungano wa Nato wakikutana mjini Brussels Ubelgiji kwa mazumzo kuhusiana na masuala ya usalama katikati ya kitisho cha ushindi wa Urusi kwenye vita vyake na Ukraine ambavyo vimedumu kwa takriban miaka miwili sasa. Mkuu huyo wa NATO amesisitiza juu ya kuendelea kutoa msaada kwa Ukraine na kuutaja uungwaji mkono mpana wa Bunge la Marekani kwa Ukraine. . . . . . #ukraine #russia #peace #nato #yuboxtv #belgium #Jensstoltenberg #vladmirputin #volodymyrzelenskyzelenskyy #dwswahili

2/15/2024, 2:47:59 PM

#HABARI: Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken, amezungumza kwa njia ya simu na Rais wa Senegal Macky Sall, ambapo amemtaka kuhakikisha uchaguzi nchini humo unafanyika haraka iwezekanavyo, ambapo amesisitiza kuwa angependa kuona uchaguzi huo unafanyika katika tarehe iliyopangwa ambayo ni Februari 25, 2024. . Kwa mujibu wa Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje, Matthew Miller, amesema, Marekani ina wasiwasi mkubwa na Taifa hilo kutokana na kusogezwa mbele kwa uchaguzi wake hali ambayo imesababisha mzozo wa kisiasa nchini humo. . Ikumbukwe jana Februari 13, 2024, Mamlaka nchini Senegal zilizuia mawasiliano ya simu pamoja na intaneti ili kudhibiti maandamano yenye lengo kupinga uamuzi wa Serikali ya nchi hiyo kusogeza mbele uchaguzi. #via #dwswahili #itvdigital #senegal🇸🇳 Follow @radioonetanzania

2/14/2024, 9:22:33 AM

"LET'S BUILD FUTURE HOME WITH @twalhabuilders ". Architecture and Civil Engineering 🔥 Chagua Moja kati ya hizo,Comment Below(Twende Kazi) A. PITCHED ROOF(PAA LA KUONEKANA/KAWAIDA) B. HIDDEN ROOF(PAA LA KUJIFICHA) Ofisi: Nyuma Ya Ubungo Plaza DSM TANZANIA. Call/WhatsApp:+255(0) 653 190 803 Email: [email protected] #happynewyear #contemporaryart #millardayo #wasafimedia #wasafi #east #ujenzi #nyumbazanguvu #civilengineering #architecture #lumion #tanzania #usa #dubai #turkey #oman #uk #0653190803 #twalhabuilders #nyumba #ujenzieatv #dwswahili #usa

2/13/2024, 7:49:11 AM

Mwanariadha aliyekuwa akishikilia rekodi ya dunia ya mbio za marathon za wanaume, kutokea nchini Kenya Kelvin Kiptum, 24, amefariki dunia katika ajali ya gari nchini Kenya. Kelvin Alifariki pamoja na kocha wake, Gervais Hakizimana wa Rwanda, kwenye barabara iliyopo magharibi mwa Kenya siku ya Jumapili. Ajali hiyo ya barabarani ilitokea mwendo wa saa 23:00 kwa saa za huko (20:00 GMT) siku ya Jumapili, polisi walinukuliwa wakisema na shirika la habari la AFP. Wakitoa maelezo zaidi kuhusu ajali hiyo, polisi walisema Kiptum ndiye aliyekuwa dereva, na gari "lilipoteza mwelekeo na kubingirika na kuwaua wawili hao papo hapo". . . . . . . #olympics #marathon #kenya #sports #yuboxtv #sportsarena #tbc #dwswahili #bbcswahili #worldchampion#

2/12/2024, 9:15:09 AM

@bongoplandotcom 𝗧𝗢𝗨𝗥𝗦 - 𝗘𝗩𝗘𝗡𝗧𝗦 - 𝗧𝗥𝗔𝗩𝗘𝗟 🏖️🌊⛱️👙🩴🚣🚤⛵👩‍❤️‍👨✈️🧳 (Social Media Poster) __________ We offer the following services:- ✔️Logos ✔️Bronchures and Flyers (Vipeperushi) ✔️Business Cards ✔️Company Profile & Magazine ✔️Product Labels ✔️ID Cards ✔️Roll Up Banner ✔️Sticker and Banner ✔️Tickets ✔️Menus ✔️Social Media Poster ✔️Custom QR CODES for your business ✔️Managing Social Media Accounts ✔️Professional Reels + Youtube Video shooting ✔️Adverts Recording and Editing ✔️Pro Photography for Events and Photoshoots ✔️Google Map Location for your Business __________ CONTACT US via:- 📞Call / WhatsApp: +255 763 544 735 Instagram: @nitovlado Email : [email protected] Direct Message (DM) and place your order now __________ . follow 👉@nitovlado 👈 . __________ . . #travelgram #dubai #enjoy #valentines #hotel #visitdubai #mydubai #globetrotter #zanzibar #hakunamatata #dubailife #paris #valentinesday #Tours #tzswag #mangekimambi #millardayoupdates #airticketing #bbcswahili #dwswahili #bestdeals #love #summer #tanzania #trip #fly #zanzibardestination #poster #flighticket

1/25/2024, 1:20:48 PM

@bongoplandotcom 𝗧𝗢𝗨𝗥𝗦 - 𝗘𝗩𝗘𝗡𝗧𝗦 - 𝗧𝗥𝗔𝗩𝗘𝗟 STUDY TOURS (Social Media Poster) __________ We offer the following services:- ✔️Logos ✔️Bronchures and Flyers (Vipeperushi) ✔️Business Cards ✔️Company Profile & Magazine ✔️Product Labels ✔️ID Cards ✔️Roll Up Banner ✔️Sticker and Banner ✔️Tickets ✔️Menus ✔️Social Media Poster ✔️Custom QR CODES for your business ✔️Managing Social Media Accounts ✔️Professional Reels + Youtube Video shooting ✔️Adverts Recording and Editing ✔️Pro Photography for Events and Photoshoots ✔️Google Map Location for your Business __________ CONTACT US via:- 📞Call / WhatsApp: +255 763 544 735 Instagram: @nitovlado Email : [email protected] Direct Message (DM) and place your order now __________ . follow 👉@nitovlado 👈 . __________ . . #travelgram #studytour #enjoy #schooltour #saadaninationalpark #graphicdesigner #travelworld #mikumi #zanzibar #hakunamatata #students #schools #learning #Tours #tzswag #mangekimambi #millardayoupdates #studying #bbcswahili #dwswahili #bestdeals #refreshment #summer #tanzania #trip #fly #zanzibardestination #schooltrip #historicalsites #nationalparks

1/25/2024, 1:17:08 PM

#Bplus Info: Mgambo wa Al-Shabaab Somalia, wamemuua mtu mmoja na kuwashikilia wengine sita baada ya helikopta ya Umoja wa Mataifa (UN), kutua kwa dharura eneo linalodhibitiwa na kundi hilo. Shirika la Habari la DW, limeripoti kuwa maofisa wa Somalia wamesema, helikopta hiyo ililazimika kutua kwa dharura baada ya kupata hitilafu. Waziri wa masuala ya ndani Jimbo la Galmudug, Mohamed Abdi Aden Gaboobe amesema helkopita hiyo ilipata hitilafu ya injini na kutua karibu na Kijji cha Xindheere. Watu tisa wanaripotiwa walikuwa ndani ya helikopta wakati wa tukio hilo, wanane kati yao ni raia wa kigeni. Abiria wawili walifanikiwa kutoroka na mmoja aliuawa kwa risasi wakati akijaribu kutoroka. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la AFP, taarifa ya ndani ya UN imesema helikopta hiyo ilianguka takriban kilomita 70 Kusini Mashariki mwa Dhusamareb. Taarifa hiyo inaeleza kuwa, waliokuwamo ndani ya helikopta ni maofisa wa kukodishwa na sio wafanyakazi wa UN. #Bongoplus update --✍️@official_zaqwisher -_________________________________- #entertainment #burudani #udaku #exclusive #news #trending #gossip #udakutz #newsupdate #trending #kenya #nairobi #nigeria #wasafitv #udakutrending #udakutz_ #Gaza #alshabaab #unitednation #dwswahili #CNN #BBC #BBC SWAHILI

1/11/2024, 10:01:10 AM

@bongoplandotcom 𝗧𝗢𝗨𝗥𝗦 - 𝗘𝗩𝗘𝗡𝗧𝗦 - 𝗧𝗥𝗔𝗩𝗘𝗟 🏖️🌊⛱️👙🩴🚣🚤⛵👩‍❤️‍👨✈️🧳 (Social Media Poster) __________ We offer the following services:- ✔️Logos ✔️Bronchures and Flyers (Vipeperushi) ✔️Business Cards ✔️Company Profile & Magazine ✔️Product Labels ✔️ID Cards ✔️Roll Up Banner ✔️Sticker and Banner ✔️Tickets ✔️Menus ✔️Social Media Poster ✔️Custom QR CODES for your business ✔️Managing Social Media Accounts ✔️Professional Reels + Youtube Video shooting ✔️Adverts Recording and Editing ✔️Pro Photography for Events and Photoshoots ✔️Google Map Location for your Business __________ CONTACT US via:- 📞Call / WhatsApp: +255 763 544 735 Instagram: @nitovlado Email : [email protected] Direct Message (DM) and place your order now __________ . follow 👉@nitovlado 👈 . __________ . . #travelgram #honeymoon #enjoy #couple #hotel #graphicdesigner #travelworld #globetrotter #zanzibar #hakunamatata #london #paris #america #Tours #tzswag #mangekimambi #millardayoupdates #airticketing #bbcswahili #dwswahili #bestdeals #love #summer #tanzania #trip #fly #zanzibardestination #poster #flighticket

1/5/2024, 6:30:00 PM

@bongoplandotcom 𝗧𝗢𝗨𝗥𝗦 - 𝗘𝗩𝗘𝗡𝗧𝗦 - 𝗧𝗥𝗔𝗩𝗘𝗟 🏖️🌊⛱️👙🩴🚣🚤⛵👩‍❤️‍👨✈️🧳 (Social Media Poster) __________ We offer the following services:- ✔️Logos ✔️Bronchures and Flyers (Vipeperushi) ✔️Business Cards ✔️Company Profile & Magazine ✔️Product Labels ✔️ID Cards ✔️Roll Up Banner ✔️Sticker and Banner ✔️Tickets ✔️Menus ✔️Social Media Poster ✔️Custom QR CODES for your business ✔️Managing Social Media Accounts ✔️Professional Reels + Youtube Video shooting ✔️Adverts Recording and Editing ✔️Pro Photography for Events and Photoshoots ✔️Google Map Location for your Business __________ CONTACT US via:- 📞Call / WhatsApp: +255 763 544 735 Instagram: @nitovlado Email : [email protected] Direct Message (DM) and place your order now __________ . follow 👉@nitovlado 👈 . __________ . . #travelgram #honeymoon #enjoy #couple #hotel #graphicdesigner #travelworld #globetrotter #zanzibar #hakunamatata #london #paris #america #Tours #tzswag #mangekimambi #millardayoupdates #mwananchi #bbcswahili #dwswahili #bestdeals #love #summer #tanzania #trip #fly #zanzibardestination #poster #flighticket

1/5/2024, 6:23:14 PM

Aliyekuwa mwanafunzi wa chuo kikuu, ashambulia wenzake kwa kutumia bunduki. @ckedited Mtu huyo mwenye bunduki ambaye aliwauwa watu wapatao 15 katika chuo kikuu mjini Prague, nchini Czech Republic, baba yake mzazi ni mmoja kati ya hao 15 waliofariki. @ckedited @gloryflorentine @nirvansgallery @minovamentalhealthfellowship @joramnkumbi @eltonmodest @ckedited #millardAyoUPDATES #championsleague #chealsea #ligikuutanzaniabara #yanga #simba #championsleague #chealsea #ligikuutanzaniabara #yanga #simba #championsleague #chealsea #ligikuutanzaniabara #yanga #simba #arsenal #mancity #premeirleague #afyakili #minovamentalheathfellowhip #kkkt #upendotv #diamondplatinumz #Millardayo #ikulumawasiliano #championsleague #chealsea #ligikuutanzaniabara #yanga #simba #islamtanzania #afya #afyakili #minova #dwswahili #bbcswahili

12/21/2023, 7:56:29 PM

#Bplus Info: Rais wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embaló amemfuta kazi Waziri Mkuu, Geraldo Martins ikiwa ni wiki moja tu baada ya kumrejesha kwenye wadhifa huo. Martins aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu kwa mara ya kwanza Agosti, lakini alipoteza nafasi hiyo mapema mwezi huu wakati Rais Embaló alipovunja serikali kufuatia jaribic mapinduzi Desemba 1 na kisha kumteua tena wiki moja iliyopita. #Bongoplus update -------------------------------------------------------- #tanzania #Africa #ikulumawasiliano #ukoloni #Ujerumani #dwswahili #bbcswahili #dw #millardayo #updates #mwananchi #tbc1 #itv #guineapig #BongoPlusTV #BongoPlus

12/21/2023, 10:54:04 AM

#Bplus Info:ldadi ya watu waliofariki dunia kutokana na mafuriko yaliyokumba maeneo kadhaa nchini Kenya imefikia 120 huku maelfu ya makazi yakisombwa na maji na kuwalazimisha watu kutafuta hifadhi. Kwa mujibu wa DVW, takwimu hizo zimetolewa na Raymond Omollo, ambaye ni ofisa wa ngazi ya juu toka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Kenya, ambaye pia amesema kaunti nne za upande wa mashariki mwa nchi hiyo ndiyo zimeathirika zaidi, huku nyingine 10 zikiwa katika hali ya juu ya tahadhari. Kulingana na ofisa huyo, jumla ya nyumba 89,000 zimeharibiwa kwa mafuriko, jambo lililoilazimu Serikali ya nchi hiyo kuanzisha kambi 112 za kuwahifadhi wale walipoteza makazi. Jumatatu wiki hii, Rais Wiliam Ruto aliongoza kikao cha dharura cha Baraza la Mawaziri kujadili athari za mafuriko hayo na kuahidi kutoa msaada wa kifedha ili kuwasaidia waliokumbwa na maafa hayo. #Bongoplus update - ---------------------------------------------- #entertainment #burudani #udaku #exclusive #wasafifestival23 #millardayoupdates #mwananchi #tbc1 #bunge #naibuwaziri #tanzania #kenyanews #ugandanews #bbcswahili #dwswahili

11/29/2023, 9:34:46 AM