enterntainment images

Discover Best enterntainment Images of World

#food #travel #sports #news #may #wednesday

Yo! My Big Brother @platform_tz Thanks For Coming To Our "E PODCAST" Ya @pmtvtz 🙌 ByTheWay Kama Bado Haujatazama Ama Kusikiliza Wimbo Mpya @platform_tz "Wololo" Bonyeza Link Kwenye Bio Yake Kwenda Kutazama 🎥 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• #enterntainment #musicvibes #explore #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #celinedion #bongounlocked🔓

4/30/2024, 4:44:59 PM

"NIMEAMKA NA MAUA YA ISARITO. Leo nimechuma maua yenye Oksijeni ya pongezi nyingi Juu ya Kijana Mwenye juhudi ziliandikwa kwa mpango wa jasho. Acha leo nimpe mauwa yake huyu mwamba japokuwa mimi sijawahi kumuona uso kwa uso, ila nimejikuta tu nakuwa Shabiki yake kwa kile anachokifanya kwenye kila kazi yake ya Sinema. Ndugu yangu @isarito_tmt najua unajua kuwa Mimi sikujui hata chembe, lakini nataka ufahamu kuwa, Mimi ni Shabiki yako namba moja kwa sasa. Naomba upige kifua chako na ujue kuwa, Wewe ni Mkali haswaa na nakuona mbali sana katika safari ya heshima na mafanikio. Kikubwa endelea kusimamia kile ambacho Mungu amekupa kwani naamini lazima kitatoa matunda kwako, familia yako na Nchi kwa ujumla. Endelea kukaza kwakuwa jasho la haki ya kazi yako litakulipa thamani ya heshima itakayoishi vizazi na vizazi. #theblackgodfather " •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #celinedion #bongounlocked🔓

4/25/2024, 9:40:32 AM

‡ The Golden Age Of Grotesque is still top Manson album in Poland. The tour was incredible, and defined new style of estrade performance. Absolute iconic look wrote the new cannonso industrial rock ‡ #marilynmanson #2003 #thegoldenageofgrotesque #grotesque #burlesque #waimaraner #godfriedhelnwein #marilynmanson2003 #thisisthenewshit #mobscene #classic #gentelman #oldfashionedstyle #iconic #fashion #enterntainment #parade #show #perfoemance #red

4/24/2024, 11:08:46 PM

TAKIN’ OVER 🌎 presented by: @mpr_562 @jbansvge REDROPPING AFTER GETTING DELETED BY DA OPPS FOO WHAT YALL THINK FOOS 🤔? #downassfoosofficial #downassfoos👊🏽 #downassrolas #downassfemales #newwestcoast #westcoasthiphop #rap #props #enterntainment

4/22/2024, 2:27:03 AM

Producer KK Radhamohan recently hinted at the long-awaited sequels to Salman Khan’s “Bajrangi Bhaijaan” and Akshay Kumar’s “Rowdy Rathore” during the promotion of Aayush Sharma’s film “Ruslaan” in Hyderabad. He shared that writer Vijayendra Prasad has crafted two exciting scripts, including “Vikramarkudu 2,” which is the sequel to “Rowdy Rathore.” Radhamohan expressed readiness with the script and is currently scouting for a suitable cast. Additionally, he mentioned plans for “Bajrangi Bhaijaan 2,” pending Salman Khan’s approval. With the script already prepared, Radhamohan anticipates Salman’s review and potential collaboration. Overall, fans of both films eagerly await further updates on these anticipated sequels. . . Follow @core_modelling- where news meets innovation. . . #bollywoodnews #enterntainment #bollywood #filmfrenzy #rowdyrathore #bajrangibhaijaan #AkshayKumar #SalmaanKhan #sequel #Ruslaan #AayushSharma #movie #bollywoodfilm

4/21/2024, 2:30:10 PM

SWIPE LEFT KUSOMA WALICHOANDIKA ZIIKI •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #celinedion #bongounlocked🔓

4/19/2024, 6:14:54 PM

SIMBA - @diamondplatnumz Aendelea Kuitupia Lawama Kampuni Ya Kusambaza Muziki Ya #ZIIKI Kwa Kuwa Na Chuki Binafsi Pamoja Na Kutaka Kujaribu Kuiua Label Yake Ya @wcb_wasafi Pamoja Na Wasanii Wa Label Hiyo. “Ziiki Pia Imekuwa Ikijaribu Mbinu Mbalimbali Za Kuia Label Na Wasanii Wa Wasafi Kisanaa” - Diamond Kupitia IG Story Yake •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #celinedion #bongounlocked🔓

4/19/2024, 4:57:47 PM

Sitcoms are the perfect remedy for those moments when you are craving a lighthearted comedic watch. We all know the struggle of settling down with a hot meal only to find yourself scrolling endlessly through options until the food has run cold. But fear not! This list of underrated sitcoms is your reliable companion during such moments. Guaranteed to deliver a good time and plenty of laughter, they ensure that your mealtime entertainment is as satisfying as your favourite dish. Content credits: Sidra Aman (@sidra.aman) Design credits: Maliha Mahmood (@_malihak_ ) #tjr #jamia #thejamiareview #sitcom #enterntainment #recommendation #netflix #binge #underrated

4/18/2024, 5:45:49 PM

मजेदार पहेली..... देखते हैं कोन कोन जवाब दे पायेगा 🙄🙄 #paheli #virals #enterntainment #trend

4/16/2024, 2:52:32 PM

YANGA 3 : SINGIDA 0 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #celinedion #bongounlocked🔓

4/14/2024, 4:50:04 PM

Let your journey begin with us 🎉⭐ Iconic Global Solution enables you to enhance your brand presence in the digital realm.💫✨🌟 #digitalmarketing #digitalmarketingagency #webdesign #website #websitedevelopment #appdesign #appdeveloper #uidesign #uxdesign #uiuxdesign #iconicglobalsolution #vellore #vellorefort #marketingdigital #marketing #enterntainment #tamilnadu #india #digitalindia

4/14/2024, 4:08:44 PM

Yanga Inaongoza Kwa Goli 1 Kwa 0 Dhidi Ya SINGIDA Na Mchezo Ni Mapumziko •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #celinedion #bongounlocked🔓

4/14/2024, 4:08:39 PM

@marioo_tz x @therealpaulahkajala 📸 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #celinedion #bongounlocked🔓

4/14/2024, 2:20:24 PM

Mapema mwezi Machi King Kiba alizindua kituo cha Redio na Tv lakini havikuwa hewani, ambapo kupitia andiko hili limeibua hisia za wengi kwamba inaweza kuwa sasa rasmi kimoja wapo kinaenda kuwashwa. Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram @officialalikiba AMEANDIKA 👇 “Ndugu Watanzania wenzangu na Wana Afrika Mashariki na Kati, Saa 6 Usiku wa leo kutokea Muheza, Tanga nitaazima usikivu, macho na akili zenu.” •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #celinedion #bongounlocked🔓

4/13/2024, 7:28:37 PM

Aliyewahi Kuwa mke wa Staa wa mpira wa miguu kutoka nchini Brazil, #RicardoKaká, #carolineCelico amedai kuwa sababu kubwa iliyopelekea kudai talaka kutoka kwa Mume wake ni kwamba alikuwa ni mume wale alikuwa mume aliyekamilika sana Kwenye post iliyopostiwa na #AllThingsBrazil, #Caroline alisema... " #Kaka hakuwahi kunisaliti, alinitendea mema kila wakati, alinipa familia nzuri, lakini sikuwa na furaha, kuna kitu kilikosekana. Shida ni kwamba alikuwa mkamilifu sana kwangu". •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #celinedion #bongounlocked🔓

4/13/2024, 1:31:24 PM

Life is about living in the moment and enjoying every second of it! #enterntainment #lifestyle #enjoyit #travelphotography #travellover #photooftheday #photo #share #comment #likesforlike #instalike #facebooklikes

4/13/2024, 1:14:37 PM

@wemasepetu 📸 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #celinedion #bongounlocked🔓

4/12/2024, 9:42:34 PM

Usiku wa kuamkia leo Twaha Kiduku ameibuka na ushindi wa TKO kwenye mzunguko wa Tano dhidi ya bondia kutoka India Harpreet Singh, baada ya pambano hilo bondia Hassan Mwakinyo ametoa mtazamo wake akidai kuwa Kiduku anatafuta mabondia wa kuja kuachia. Mwakinyo AMEANDIKA 👉 "Najutia usingizi wangu, yaani leo [Jana] umeonyesha kuwa wewe hauna sifa wala vigezo vya kuwa pro, nimekua kwenye boxing kwa takribani miaka 17 sasa hakuna ushindi wa namna ile, Kibenju nertwork ya mlundwa imekubeba sana kutafuta bondia wa kuja kuachia na hii ndio salama yako." "Kama sio ofa na jamaa angeamua kukaza angekuvua nguo tena, kiwango chako ni kibovu sana, siku hadi siku haukui ki-mchezo, Simba na Yanga zinafuzu kila siku na zinabadilisha walimu wewe unapigwa kila siku lakini ni kama umefunga nae ndoa." "Listen ukitaka kujilinganisha sawa na mtu kwa ubora make sure baadhi ya vitu mnafanana au unakuwa zaidi yake." •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #celinedion #bongounlocked🔓

4/12/2024, 9:37:52 AM

Grand finale ✨ Make the most of your weekend by attending the final performances of our shows at Bamboo House! #enterntainment #bamboohouse #rsvp #aerialhoop #aerialhoopdance #bamboohousesxm #sushi #dinerwithashow

4/12/2024, 2:38:21 AM

Unahisi Mtoto Wa Marioo Na Paula Atakuwa Jinsia Gani? @marioo_tz x @therealpaulahkajala 📸 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #celinedion #bongounlocked🔓

4/11/2024, 7:24:59 PM

Rihanna With Her Son📸 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #celinedion #bongounlocked🔓

4/10/2024, 7:13:09 PM

Mwanamuziki Na Muandaaji Wa Muziki 🇹🇿 @s2kizzy ( Zombie ) Kupitia Insta-Story Yake Ame-Share Ujumbe Unaosema Kuwa Asilimia 98 Ya NGOMA Kubwa Tanzania Yeye Ndie Ambae Amezizalisha _ S2KIZY Ameandika 👇 "THE BEST PRODUCER ALIVE..KATIKA KILA FACT...NUMBERS HITS BIG SONGS GOOD SONGS BANGERS In All Genre So, ....98% of THIS COUNTRY Big song Are All produced By Me, My Self And I...I"M THE BEAST OF ALL !!! THESE HITS ....!! This Country Owe Me A lot" •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #celinedion #bongounlocked🔓

4/8/2024, 9:15:56 PM

Kwa hali ya kawaida watu wana mipaka juu ya kile wanachosaidiana kama marafiki katika maisha, lakini jamaa mmoja huko nchini Kenya aliyefahamika kwa jina la Patrick amefanya jambo ambalo sio rahisi kwa wanaume wengi kulifanya. TUKO AMEFANYAJE? Patrick amemruhusu mshkaji wake kipenzi atembee na mke wake ili amtie mimba. ILIKUAJE? Patrick na mke wake mrembo Zubeda, walijaribu kwa miaka mingi kutafuta mtoto bila mafanikio hali iliyowalazimu kutafuta ushauri wa kitabibu ili kufahamu tatizo. "Baada ya kufanyiwa vipimo mimi niligundulika kuwa sina uwezo wa kumzalisha mke wangu." "Lakini hata hivyo sikukubaliana na hali hiyo nikaamua kutembea na wanawake wengine nje ya ndoa ili nijaribu kuona kama ningeweza kuwapa mimba lakini haikuwezekana. Ndipo nilipoamua kuomba msaada kwa rafiki yangu mkubwa," anasema Patrick. Rafiki wa Patrick alipopata habari hizo kwa mara ya kwanza alishtuka na kushangazwa na uamuzi wa Patrick wa kutaka alale na mke wake. KWA UPANDE WA ZUBEDA ILIKUAJE? Zubeda alichukia sana na hakukubaliana na wazo hilo, lakini aliingiwa na huruma alipoona mumewe hana furaha, ikambidi akubali kwa unyonge. Rafiki wa Patrick anasema...“Patrick aliniomba jambo gumu sana, mwanzo nilisita lakini baadae baada ya kuwaza sana nilikubali kusaidia, nilizaa na mke wake watoto watatu, lakini tulikubaliana watakuwa wake. "Hao watoto siwaoni kuwa ni wangu kwasababu tulifanya makubaliano kisheria kwa ajili ya hilo, nina furaha nilimsaidia rafiki yangu, na sasa na yeye ni baba," alisema jamaa. Patrick anajigamba kuwa ndoa yake iko imara licha ya maamuzi magumu aliyochukua ili tu aweze kupata watoto. Source: @pmtvtz •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #celinedion #bongounlocked🔓

4/8/2024, 7:16:37 PM

@ommydimpoz x @millardayo 📸 Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #celinedion #bongounlocked🔓

4/8/2024, 1:05:36 PM

Baada Siku Ya Jana Msanii @harmonize_tz Kupost Tambo Zake Kuwa Single Again Ndio Wimbo Namba Moja Na Hizo Nyengine Kama #Tetema Ya #Rayvanny, #AfricanBeuty Ya @diamondplatnumz Na Nyenginezo Kuwa Ni Zazamani Kupitia Insta-Story Ya Staa Wa Muziki Wa Bongofleva @rayvanny Ameandika 👉 "Kwenye namba au takwimu za wimbo au nyimbo Duniani hakunaga mambo ya solo na feauturing !!!! Unaposema solo inabidi nyingine iwe ni band lakini inapokua ni feauture huo ni wimbo kama nyimbo zingine hakuna mambo ya eti mimi nipo peke yangu ilo la kwanza ...... ndio maana despacito ni wimbo wa collaboration ila una tuzo za best song yani unashindana na mtu alo imba peke yake bila feauturing". Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #celinedion #bongounlocked🔓

4/8/2024, 12:55:01 PM

Jaji wa Mahakama ya Juu nchini Brazil, Alexandre de Moraes, ameanzisha uchunguzi dhidi ya mmiliki wa mtandao wa X, Elon Musk, kwa tuhuma za kuzuia sheria kuchukua mkondo wake. Musk anapingana na uamuzi wa Jaji Moraes wa kuutaka mtandao huo kufunga baadhi ya akaunti za watumiaji, akisema agizo hilo ni kinyume na Katiba ya Brazil. Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #celinedion #bongounlocked🔓

4/8/2024, 11:26:01 AM

#AparshaktiKhurana: ‘बर्लिन’ के प्रीमियर में अपारशक्ति खुराना ने बताए अपनी ज़िंदगी के कई राज Link In Bio:👉👉 #BerlinPremiere #Aparshakti #aparshaktikhuranamovie #Bollywoodnews #enterntainment #Livetimesnews #LTDigital

4/7/2024, 3:16:48 PM

Timu Ya Mamelodi Sundowns Imefuzu Kwenda Nusu Fainali Kwa Kuitoa Klabu Ya Yangu Kwa Mikwaju Ya Penati Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #celinedion #bongounlocked🔓

4/5/2024, 10:16:52 PM

Are you looking for an opportunity to relief stress and relax from your busy schedule? @creatifng is here to give you what you desire 💜✅ #creatifng #enterntainment

4/2/2024, 1:57:20 PM

Happy Birthday, Céline Dion! 🥳 The Canadian songstress turns 56 today. | 📷: Getty; •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #celinedion #bongounlocked🔓

3/30/2024, 8:42:30 PM

SIMBA O - AL AHLY 1 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #bongounlocked🔓

3/29/2024, 7:13:05 PM

3 in 1 - was will man mehr 🤩👍 Wie ihr vielleicht wisst, began meine Gaming Welt mit dem NES. Und da gab es ein Modul, das die wichtigsten Games, um mit dem Gaming zu starten, in einem vereint hat❤️ Super Mario Bros. + Tetris + Nintendo World Cup. Dieses Modul bietet 2 der besten Videogames aller Zeiten. Ich meine... Zu Mario Bros und Tetris muss ich euch ja nichts erzählen 😉 Zusätzlich gab es da auch dieses eine Fußballspiel, das mir so richtig viel Spaß gemacht hat. Mit dem World Cup habe ich auch richtig viel Zeit verbracht. Die Besonderheit dieses Games war, dass man ohne Strafe seine Gegner tacklen konnte.😂 Außerdem besaß jede Mannschaft einen besonderen Super Schuss, die fast immer ein Tor gebracht hat. Somit bestanden 99% meiner Gameplays damit, mir mit zwei Spielern den Ball zuzuspielen und dann mit einem Pfeilrückzieher das Tor reinzuhauen 😜 Es war wirklich ein toller Start in die Gaming Welt 😁 Hattet ihr auch das 3in1 Modul? Mit welchem Game habt ihr die meiste Zeit verbracht? Wie fandet ihr das Fußball Game? Schreibt es mir in die Kommentare 😉 Schaut auch gerne bei meinen Instagram Partnern @tprshadow & @__gamerbros__ vorbei 👍 Ich wünsche euch ein schönes Osterfest 🐰 #game #gamingposts #gaming #games #gametime #gamecollection #gamez #gamergirl #gamestagram #gamer #gameday #retro #retrogaming #retrogame #80s #kindheit #supernintendo #enterntainment #nes #nesgames #supermario #supermariobros #tetris #nintendoworldcup #nescollection #fridaypost #fussball #ilikeit #nintendogames #nintendolife

3/29/2024, 1:15:39 PM

Swipe Left Kusoma Chat Zao😄 @harmonize_tz x @mwakinyopros_ •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #bongounlocked🔓

3/27/2024, 10:57:48 AM

فیفا ورلڈکپ کوالیفائرمیں بھارت کو افغانستان نے دھول چٹادی گوہاٹی کے اندرا گاندھی اسٹیڈیم میں کھیلے گئے فیفا ورلڈکپ کوالیفائر کے اہم مقابلے میں افغانستان نے بھارتی ٹیم کو 2 کے مقابلے ایک گول سے شکست دیکر رسوا کردیا۔ جیت کے ساتھ افغان ٹیم کی رینکنگ میں بھی 4 درجے بہتری آئی اور وہ 151 ویں نمبر پر آگئی جبکہ بھارتی ٹیم کی رینکنگ میں کمزور حریف سے شکست کے بعد 2 درجہ تنزلی ہوئی اور 120 سے 122 ویں نمبر پہنچ گئی۔ #keypoint #keypointofficial #fifa #worldcup #enterntainment

3/27/2024, 7:08:29 AM

Embarking on a new journey in addition to our events! We enjoy connecting people and helping everyone grow together. Don't hesitate to contact us! #GAKU #bdconsulting #businessdevelopment #digital #enterntainment #teched #tech

3/25/2024, 1:15:00 AM

😂😂😂 #enterntainment #funnymemes #memesdaily #webynest

3/24/2024, 2:55:15 PM

VIERNES BIZARROS SOS JOVEN, ESTÁS AL PEDO 📀 Cachorro y Sergio, encarnados por Roko y Palolo, viven en una pensión en Buenos Aires. Trabajan (no mucho) en La Cantina de Spadavecchia. Se la pasan aporreando la guitarra y cantando. Cuando están juntos parecen los Robin y Robin del tercer mundo (no hay error, Batman era inteligente). Un día son despedidos del empleo y, como están al pedo, deciden llegarse a pata desde La Boca hasta Jujuy para participar en un concurso de cantantes aficionados. En el medio aparece Rossana Falasca. Se supone que es el "interés romántico" de Roko, pero lo que podría ser una historia de Amor queda en algo indefinido porque -como dice Pablo Alonso en su gran libro sobre las canciones de Sandro- este pibe es incapaz de besarla "en un lugar que no fuese su mejilla"*. Entre escenas de dudosa comicidad, llegan al concurso. Cantan. Ganan. Fin 📀 Esta es la trama (?) De ARRIBA JUVENTUD, un engendro argentino de 1971 producido por Oscar Anderle (el mismo de Sandro) y dirigido por Leo Fleider. Los protagonistas son dos cantantes ignotos que habían sido descubiertos por Anderle y Sandro. La intención era producirlos, que hicieran más películas y grabaran discos, pero no pudo ser, porque para lograrlo no sólo se necesitan buenas canciones (lo único bueno del film: las compuso Sandro) sino también carisma. Y estos pibes se la llevaron a marzo 📀 Hay que decirlo todo: la culpa no fue sólo de ellos. Hacen lo que pueden. No los ayuda el elenco (pobres Fidel Pintos y Vicente Rubino) ni las coreografías que les arman (ver a Palolo cantando subido a una mesada mientras un grupo de bailarines se sacude como si estuviera luchando contra la inevitable abducción marciana en una película clase Z da risa y algo de vergüenza). Palolo pronto se dio cuenta de esto, y rescindió el contrato con CBS. Muchos años después sostuvo "Estar convencido (de) que Sandro y Anderle lo habían convocado sólo para anular un eventual competidor"**. Es posible. Las discográficas suelen hacer esas jugadas 📀 Con esta película quedó claro que el astro de CBS seguiría siendo Sandro. Vale la pena mirarla para comprobar que merece su espacio aquí. ¡Que les sea leve!

3/24/2024, 3:20:40 AM

Introducing Hoodgroove Artists One of the best on the board knows how to pose⁠ 🛹 ⁠ @dimzogaris combines skills, style and freshness ⁠ ⁠ Message us for Bookings and inquiries⁠ ⁠ WE CAN IMPRESS ANYONE FOR YOU⁠ ⁠ Graphics by @groovas.grafix⁠ ⁠ #hoodgroove #hoodgroovemanagement #skater #skate #skateboard #zogaris #skills #photoshoot #malemodel #model #photo #professionals #contactus #booknow #enterntainment #agency #manager #management #promote #street #streetart

3/22/2024, 4:53:35 PM

Ulikuwa Wapi Wakati Zakale Hizi Zina-Hit?😄 @professorjaytz x @feroozgram •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #edsheeran #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #bongounlocked🔓

3/22/2024, 7:50:17 AM

Eti Muhenga Mwenzangu, Unakumbuka Wapi Au Nini Ukisikiliza Nyimbo Hizi?😄 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #edsheeran #music #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #bongounlocked🔓

3/20/2024, 7:12:16 PM

TANZIA: Msanii wa vichekesho Umar lahbedi Issa maarufu kama @mzeewamjegejetz amefariki dunia leo Alfajiri katika Hospital ya Mwananyamala alipokuwa akipatiwa matibabu. . Meneja wa msanii huyo, Real Jimmy amethibitisha taarifa hizo za kifo cha msanii wake aliyekuwa anaishi Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. . #RipMzeeWaMjegeje •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #edsheeran #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #bongounlocked🔓

3/20/2024, 8:34:53 AM

If you're a FAN of THE ANCIENT CHRONICLES Universe and would love to own your very own merch?! Then make sure to visit our website at www.theancientchronicles.com to order your sweets!! 🔥🥂 The Ancient Chronicles: The Newborn is now available on all online merchants! Amazon link: The Ancient Chronicles: The Newborn https://a.co/d/hRHcxLp Book's website: www.theancientchronicles.com You can purchase your copy on Amazon, Kindle, iBooks, Nook, and many other online merchants! If you had read it, please leave your book reviews!!! Thank you for your continued support!! 🙏🏽 #vampire #fantasy #fiction #book #amazonbooks #awesome #epic #amazing #artists #kindle #nook #ibooks #roku #vampires #theancientchronicles #thenewborn #fantasy #thriller #horror #action #read #enterntainment

3/19/2024, 8:44:43 PM

आज दिनांक 19.03.2024 को रावत ग्रुप आॅफ काॅलेज के प्रांगण में ‘फागोत्सव’ बडे़ ही हर्षोउल्लास के साथ मनाया गया। कार्यक्रम का शुभारंभ संस्था की संरक्षिका श्रीमती निर्मला रावत व डायरेक्टर श्रीमान हेमेन्द्र सिंह रावत व श्रीमती कल्पना रावत ने दीप प्रज्जवलन कर किया। कार्यक्रम में छात्र-छात्राओं ने एकल, युगल व समूह नृत्य के साथ ‘‘रास’’ में बढ़ चढ़ कर हिस्सा लिया। होली व फाग के गीतों पर रंगारंग प्रस्तुतियाँ दी, कार्यक्रम में संस्था की संरक्षिका व डायरेक्टर ने छात्र-छात्राओं, प्राचार्य, व्याख्यातागणों तथा के समस्त कर्मचारियों को सम्मानित किया। कार्यक्रम के अन्त में फूलों की होली खेली गई तथा डायरेक्टर श्रीमती कल्पना रावत ने सभी को फागोत्सव की बधाई हेते हुए धन्यवाद ज्ञापित किया। #faagutsav #colours #fun #enjoy #enterntainment #rawateducation #RawatCollege #flowerpower #krishna #radharani #radhekrishna #dance #rajasthanigeet #faag #smiles #songs #djlife #rangarang

3/19/2024, 11:18:23 AM

Tunga Sentensi Moja Kwa Picha Hizo😂 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #edsheeran #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #bongounlocked🔓

3/18/2024, 7:47:57 AM

मीडिया के साथ अपने बर्थडे सेलिब्रेशन के दौरान @amirkhanactor_ ने 'अंदाज अपना-अपना 2' का इशारा किया, लेकिन सुर्खियों से बचने के लिए उन्होंने कोई स्पष्ट जवाब नहीं दिया। हालाँकि, उन्होंने इंस्टाग्राम पर एक लाइव सत्र के दौरान प्रशंसकों के साथ खुलकर बात की और AAA2 पर एक रोमांचक अपडेट दिया। सुपरस्टार ने संकेत दिया कि प्रतिष्ठित कॉमेडी एंटरटेनर 'अंदाज़ अपना अपना' सीक्वल 'अंदाज़ अपना अपना 2' के साथ आ रहा है। संकेत साझा करते हुए, 'आमिर खान' ने कहा, "फिल्म निर्माता राजकुमार संतोषी 'अंदाज़ अपना अपना 2' की स्क्रिप्ट पर काम कर रहे हैं।" #amirkhan #salmankhan #rajkumarsantoshi #andazapnaapna2 #andazapnaapna #enterntainment #movies #hindinews #mumbai #newshindi24

3/16/2024, 11:30:23 AM

🚀 COUNTDOWN TICKETSALE 🚀 De countdown is begonnen! Op donderdag 21 maart gaat onze ticketverkoop van start! 🎟️ Trommel je collega’s en vrienden op en zet je schrap voor Bond & Beyond Experience, dé team experience van 2024 die je absoluut niet wilt missen! Bij ons geldt: geen minimum of maximum aan teamgrootte – iedereen is welkom! Hoe meer zielen, hoe meer vreugd 💞 #ticketverkoop #comingsoon #bondandbeyondexperience #thinkpink

3/16/2024, 8:36:51 AM

योद्धा प्रशंसकों के लिए डबल बोनस! निर्माता दर्शकों को 'एक खरीदें और दूसरी मुफ़्त पाएं' ऑफर दे रही है। योद्धा को अपने नजदीकी सिनेमाघरों में देख इस ऑफर का मजा ले! @sidmalhotra @raashiikhanna @dishapatani @dharmamovies @primevideoin #sidharthmalhotra #raashikhanna #dishapatani #yodha #karanjohar #buy1get1free #cinema #incinemasnow #enterntainment #dailynews #movies #movielover #newshindi24

3/16/2024, 8:30:40 AM

Happy Birthday @harmonize_tz 🎊 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #edsheeran #perfect #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #bongounlocked🔓

3/15/2024, 6:32:35 AM

Sanam Jung's family adventures in Houston! Dive into their fun-filled explorations at the Houston Interactive Aquarium, captured in these delightful snapshots. #TheCurrent #SanamJung #enterntainment

3/14/2024, 11:08:35 AM

@tanashadonna 📸 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandikwa Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #bongounlocked🔓

3/13/2024, 8:39:57 PM

Msanii @diamondplatnumz Ame-share Picha Kupitia Insta-Story Yake Akiwa Na @harmonize_tz Na #Warsam Na Kuandika "Watoto Wa Mama Kizimkazi" Hii Inamana Sasa Mambo Ni Shwali 😇 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandika Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #bongounlocked🔓

3/13/2024, 12:29:25 PM

Haya Wahenga Wazangu, Ipi Ilikubamba Zaidi Hapo?😃 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandika Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #bongounlocked🔓

3/12/2024, 9:20:42 AM

Revolutionize your viewing experience with DH iTV - the pioneer of IPTV innovation in Nepal! Access unparalleled entertainment for just Rs. 150 per month. Your gateway to endless enjoyment awaits. #dhfibernet #dhitv #nepalsfirstpremiumiptv #iptv #enterntainment #nepal #internet

3/12/2024, 8:30:32 AM

Rais wa Timu ya Mpira wa Kikapu ya Dar City, Mussa Mzenji amefika Nairobi Kenya na kupokelewa na mtoto wa Rais Ruto, Charline Ruto baada ya kumualika kutembelea mechi za Bonanza za mpira wa kikapu ambazo baadhi zinasimamiwa na foundation ya mtoto wa Rais Ruto Katika mualiko huo pia mgeni mwingine aliyealikwa ni Pamoja Na mtoto wa Rais wa Zimbambwe, Tariro Washe. Hii yote ni kutokana na mafanikio ya kukuza mpira wa kikakupu nchini ambayo Musa amekua akifanya kwa kipindi cha hivi karibuni…. Baada ya kuvisuuport team za kikakup za Pazi na Dar City •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandika Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #bongounlocked🔓

3/10/2024, 8:27:38 AM

Marley fusion is coming to you live in May 11 #meet and greet #enterntainment

3/9/2024, 2:33:08 PM

Baraza la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la Zanzibar, limemfungia msaanii wa kizazi kipya Zuhura Othman Masoud maarufu Zuchu kuendesha shughuli zote za sanaa visiwani Zanzibar. Mbali na kumfungia kuendesha shughuli za sanaa, pia imepiga marufuku redio na televisheni za Zanzibar kupiga nyimbo zake zote kwa kipindi cha miezi sita.Hatua hiyo imekuja baada ya tukio la Februari 24 mwaka huu Zuchu wakati akitumbuiza katika usiku wa Fullmoon Kendwa Mkoa wa Kaskazini Unguja kudaiwa kuimba nyimbo, kutoa matamshi na kuonyesha ishara mbaya ambazo ni kinyume na maadili ya kizanzibari. Akizungumza leo Machi 5, 2024 ofisini kwake na waandishi wa habari, katibu mtendaji wa baraza hilo, Omar Abdalla Adam amesema baraza limemfungia kwa kipindi cha miezi sita kuanzia sasa. “Baraza lina wajibu wa kusimamia mila, silka desturi na utamaduni wa Mzanzibari, kwa hiyo linatamka rasmi kumfungia msanii Zuhura Othman Soud (Zuchu) kufanya shughuli yoyote ya sanaa kwa Zanzibar kwa kipindi cha muda wa miezi sita kuanzia leo Machi 5, 2024,” amesema.Amesema wanafanya hivyo kutokana na tabia yake kuimba nyimbo ambazo hazina maadili, hazifuati misingi na hazina afya njema kwa jamii ya Wazanzibari. Pia, amesema licha ya msanii huyo kutokuwa na usajili Zanzibar lakini amekuwa akiendesha shughuli zake za sanaa bila kupata kibali.Mbali na adhabu hiyo, pia msanii huyo ametakiwa kulipa faini ya Sh1 milioni moja kwa Baraza la Sanaa na aandike barua ya kuomba radhi na kuthibitisha kwamba hatafanya kosa hilo ndani ya kipindi alichofungiwa. •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• #enterntainment #musicvibes #explore #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #bongounlocked🔓

3/5/2024, 10:44:13 AM

SwipeLeft Kusoma •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandika Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #bongounlocked🔓

3/5/2024, 8:36:31 AM

Staa Wa Muziki Wa Bongofleva @officialzuchu Ameaomba Radhi Kwa Mashabiki Na Basata Kwa Maneno Yake Yaliyozua Taharuki Wakati Wa Show Yake Huko Kendwa Rocks, Zanzibar •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Imeandika Na @_iamjohh #enterntainment #musicvibes #explore #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #bongounlocked🔓

3/4/2024, 9:37:34 PM

Mna Majibu Ya Mdau?😅 @diamondplatnumz •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Bet Na @pmbet.co.tz Ujishindie Zawadi MbaliMbali Ikiwemo Magari, Pikipiki Na Pesa Tasilimu - Bonyeza LINK Kwenye BIO Yangu KUJISAJILI💰 •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• #enterntainment #musicvibes #explore #lifestyle #kenya🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #bongounlocked🔓

3/1/2024, 7:48:02 AM